Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili
Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana...
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral
Asante nawasilisha
Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana.
Hili ni shirika la Umma lakini linatoa mianya ya Upendeleo wakayi wa recruitment. Jambo hili husabisha vijana wenye sifa kukosa kazi huku vijana wasio na sifa kupata kazi, jambo linalipelekea Huduma mbovu na performance ndogo ya...
Hiki ni kitu ambacho kinaniumiza kichwa kufahamu kwakuwa hakuna taarifa maalumu ya kwamba Tamisemi hawatahusika na hizi ajira za Ualimu
Hili linatia mashaka baada ya siku za nyuma kutangazwa ajira za Ualimu kupitia sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma na ikahitajika waalimu kujisajili...
Wakuu Leo nimeliona tangazo la nafasi ya kujiunga JESHI LA WANANCHI TANZANIA lakini naombeni ufafanuzi kwenye masharti yake kama UMRI NA CHETI CHA JKT WANAZINGIATIA SANA AU TUFANYE MAOMBI TU POTELEA KARIBU?
---
Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k
Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli?
Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka Afrika waende wakaajiriwe kule, wapo watakaoenda?
ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji.
Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa tu walikosa ajira wakaamua kushawishika kufanya vitu visivyofaa.
Serikali iendelee kuzalisha ajira...
Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi.
Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu au chama kilicbokata pesa ya Mtumishi bila idhini yake?
Ewe unayeomba ajira za ualimu hakikisha umefuata maelekezo na masharti kama yalivyoelekezwa na utumishi.
Barua yako ya maombi utie saini kwa mkono wako, jidanganye utumie adobe signature unaliwa kichwa. Address ya utumishi usikosee hata nukta, Certify vyeti vya taaluma kama ilivyoelekezwa.....
Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu....
Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
Habari Wakuu.
Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.
Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV...
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree
Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana
Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge
Tunakosa tena...
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma
1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama
2. unapoandika barua ya maombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.