ajira

  1. Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
  2. Maelfu waitwa kwenye usaili ajira za ualimu 2024

    Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira. Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
  3. Waswahili wengi hawaaminiki kwenye ajira

    Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:- Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT. Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida. Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
  4. D

    Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

    Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
  5. Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Habari wana JF haya kuna walioona changes kwenye profile zao. Tiririka mwalimu mwaka wako huu
  6. M

    Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

  7. Sekretiati ya Ajira inabidi ijitathimini au ibadilishwe

    Nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo Hivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,wanakuja kuaaply watu 45,000...
  8. L

    Makampuni ya China yatoa nafasi za ajira zaidi ya 500 kwenye maonesho ya ajira ya Chuo Kikuu cha UDSM

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban miaka sita kutokana na changamoto kama vile janga la UVIKO-19. Baada ya kurejea kwake sasa maonesho...
  9. Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  10. Kila nikikumbuka ajira za ualimu nazo zina interview Sasa hivi nachanganyikiwa basi wangezingatia na miaka ya kuhitimu chuo

    Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya...
  11. Kwa walimu tu, chagua nini kinakufaa hapo kuelekea usaili wa sekretariate ya ajira

    UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below: Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡...
  12. Jua namna bora ya kujibu maswali ya usaili wa mazungumzo katika sekretariate ya ajira any professional recruitment panel

    MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL. +255656480968 πŸ‘‰In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able to be scored. The answers should also be measurable and follow specific criteria. For example, if a...
  13. Swala la overtime kwenye ajira

    Mzuka? Naomba niulize wana jukwaa kuhusu swala la overtime kwenye ajira. Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla sijajichanganya kwa gabachori naomba nieleweshewe.
  14. C.I.A imetangaza ajira kwa Wachina, Korea Kaskazini na Iran

    Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao. Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee...
  15. Ajira serikalini

    Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana. Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako wewe ambaye unasema sina ata mtaji sasa nitawezaje?πŸ₯ΊπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­ sasa acha kuilamu serikali muungwana mda...
  16. T

    Inawezekana tangazo la ajira likawa nafasi 5 ila kuitwa kazini idadi ikaongezeka?

    Je, kuna uwezekano kwamba tangazo la ajjra limetangaza nafasi 5 ila kuitwa kazini idadi ikaongezeka? Naomba kujua.
  17. Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

    Habari familia, kuja jambo linanitatiza, kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni? Maana unakuta anayelipwa Gross...
  18. L

    Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwaπŸ˜‚
  19. E

    Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  20. Ajira JWTZ

    JWTZ walitoa ajira kama mara 2 hivi lakini hakuna hata moja niliyoona watu wakiitwa kwenye usaili. Ya kwanza kuna ile ambayo walitoa wakasema ni kwa ajili ya watu ambao mkataba wao umeshaisha na wapo majumbani ambayo ilikuwa mwaka jana 2023 mwishoni au mwaka huu 2024 mwanzoni kama sikosei na ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…