akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  2. Camilo Cienfuegos

    Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

    Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili” Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea. Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
  3. Prof T Johannes Chacha

    Mjadala juu ya Mustakabali wa Akili Mnemba (AI)

    Wakati wengi wanakubali kuwa Akili Mnemba (AI) ina uwezo wa kuleta mapinduzi ya viwanda na kuboresha maisha, kuna wasiwasi unaoongezeka juu ya athari za kimaadili na usalama wa maendeleo yake ya haraka. Tarehe 25/09/2024 itakumbukwa sana katika historia ya dunia kama siku ambayo mabadiliko...
  4. B

    Exim Benki yaamsha Matumaini kwa Wagonjwa wa Afya ya Akili

    Benki ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangia huduma za afya hususani kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Afya ya Akili. Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amezindua Tamasha la Exim Bima Festival ikiwa...
  5. Sodoku

    Hasara ya Iran kuishambulia Israel ni kubwa. Kukaa kwao kimya si kwamba hawana akili. Russia, Korea na China...

    Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo. Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria...
  6. GENTAMYCINE

    Naomba tusaidiane kujibu hili swali langu ambalo nimejiuliza mara mbili mbili

    Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
  7. The Sheriff

    Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi. Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza...
  8. GENTAMYCINE

    Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  9. God Fearing Person

    Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  10. Msanii

    Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  11. Daniel Adam Kidingija

    Afya ya Akili: Sikuwa hivi nilivyo

    Watu wengi mtu anapokosea kufanya jambo, tunalaumu. Wachache hujiuliza amekutwa na nini. Jambo tusilofahamu ni kwamba, kila moja achukuliwe kwa upekee alionao. Haina maana tumpongeze mtu anaevunja taratibu nzuri katika jamii zetu. Upekee hujengwa na sababu za kimazingira, na za kibaiolojia...
  12. F

    Mpaka sasa CHADEMA wameshatimiza lengo kuu la maandamano ni akili kubwa imetumika, polisi wanahaha.

    Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo. Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
  13. Genius Man

    Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone

    Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone?
  14. Baba wa mbingu

    Wana JF kuna 15000Tsh kwa atakaejibu swali hili.

    Toa\taja tofauti tano (5) kati ya 1)Aliyeona akikusimulia na, 2)aliyesikia akikusimulia Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza. A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
  15. Riskytaker

    Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  16. mastermind tz

    Kama ungekuwa na akili ungezitumiaje?

    Hebu jielezee jinsi ambavyo akili zako huwa unazitumia. Kila mtu ana akili pengine matumizi sahihi huwa yanapelekea uwezo wa akili kuongenzeka. Kama mimi ndie ningekuwa nimeulizwa swali kama hili pamoja na kwamba tayari akili ninazo lakini ningejieleza ili kuthibitisha kuwa nina akili na...
  17. GENTAMYCINE

    Kumbe jana Kakesha JamiiForums Usiku Kucha na hajaamini kuwa kuna Watu wanapiga Spana za Ukweli na wana Akili

    Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
  18. Komeo Lachuma

    Emmanuel Nchimbi ana akili na anajua Siasa. Sidhani kama atadumu kwa hiyo nafasi aliyo nayo

    Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine. Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani...
  19. D

    Pre GE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

    Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini? Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
  20. Bams

    Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
Back
Top Bottom