akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda. Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi. Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
  2. Metronidazole 400mg

    Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

    Kuna Cha kujifunza hapa
  3. Tman900

    Kuna Binti, nilimpenda sana, ana Miaka 26, na Watoto watatu

    Kuna Binti, nilimpenda sana, ana Miaka 26, na Watoto watatu. Alileta sarakasi za Kila aiana mi nikachemka, Dem anawatoto watatu nilimpenda hivyo, hivyo. Nilivyoona anazingua nikampiga Chini, mademu wako wengi Leo anapiga simu anashida anaomba asaidiwe. Dharau kibao, Leo yeye wakua na shida na...
  4. R

    Rais endelea kuwapa stress Wabaya wako; ukimya wako umetufanya tutambue wanaokuzunguka wanakuwazia nini. Ishi nao kwa akili

    Ukimya wa Mhe. Rais kisiasa umesaidia sana kufahamu ana maadui wangapi na marafiki wangapi. Ukimya wake umesaidia sana kuona comments za mitandaoni zinavyoweza kutafsiri jamii unayoiongozia. Ukimya wake umewafanya viongozi wenzake waandike kila mtu kwa mtizamo wake kwenye makundi ya WhatsApp na...
  5. kipara kipya

    Yanga kuna ombwe kubwa la uongozi,maamuzi yao ni dhahiri wenye akili ni wawili watuweke wazi ni hujuma gani ziliwakimbiza Chamazi!

    Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu. Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita...
  6. M

    Mwanaume usije kumpa zawadi au kitu mwanamke ukasema ataridhika, awe kasoma au hajasoma wote akili yao ni moja

    Leo mahsusi kwa wanaume, Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya, Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika, Kwenye 10 utapata mmoja au asiwepo kabisa , na hii ni mwanamke awe mfanyabiashara, mkulima, Msomi, yaani...
  7. RIGHT MARKER

    Umekosa akili mpaka unakwenda kulala kwa mwanamke

    📖Mhadhara (60)✍️ Kama unahonga wewe honga lakini usidhani kwamba unapendwa sana kuliko wenzako. Usifikiri kuwa wewe uliyehonga Jiko la Gesi ni mjanja sana kuliko aliyehonga Kitanda. Au wewe uliyehonga simu ni mjanja sana kuliko anayehonga salio. 1. Kisa umemnunulia mwanamke Feni la Tshs 50,000...
  8. Komeo Lachuma

    Watanzania wanahitaji zaidi Akili kuliko Oxygen

    Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana. Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na...
  9. Replica

    Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

    RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili. Taarifa hiyo, imetolewa leo...
  10. Pang Fung Mi

    Wajinga wa akili hawajui kuwa Shigongo ameongea utani wa msukuma na mngoni msibani kwa Grace Mapunda

    Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu. Kaeni kimya Pang Fung Mi
  11. Mejasoko

    Nyimbo ya Mikasi ya Ngwair iliandikwa kwa akili nyingi sana

    Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi...
  12. tang'ana

    Hivi kumbe mpaka karne hii ya 21 bado kuna michepuko ina akili kiasi hiki?

    Wakuu salama? Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini. Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu. Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
  13. Mkalukungone mwamba

    Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini

    Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu ===================== Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini...
  14. M

    Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

    Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu. Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu. Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
  15. makaveli10

    Kama Mwanamke anakukwaza, hakutii ; Quran inasema mpatie kipigo akili ikae sawa

    Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha, Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao. Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu.
  16. Komeo Lachuma

    Israel akili nyingi sana. Walianza kwanza na kuwachapa majirani. Walianza kupiga mbwa kisha wakaenda kumpiga mwenye Mbwa.

    Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali. Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya...
  17. OMOYOGWANE

    Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  18. J

    Nini Chimbuko la Matumizi Mabaya ya Madaraka Tanzania?

    Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo Unanijua Mimi ni Nani?" na wengine waliwahi kutuhumiwa kutumia Mamlaka yao kuvunja Sheria za nchi...
  19. Mtoa Taarifa

    Kesi ya 'mauaji ya Asimwe' yasogezwa mbele Padri akapimwe Akili kwanza

    Kesi ya mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, imesogezwa mbele kupisha uchunguzi Mtuhumiwa wa kwanza Padri Elipidius Rwegoshora...
  20. Inside10

    Kagera: Padri Elipidius hadi afanyiwe uchunguzi wa ugonjwa wa akili. Ni kuhusu kesi ya mauaji ya Albino Noela Asimwe

    Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
Back
Top Bottom