akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear, Oppenheimer-bomu la atomic, Edward Teller-bomu la Hydrogen Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa, Boris...
  2. Trump asema hana matatizo ya akili au uelewa na kuitisha mtihani kwa wagombea

    Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani. Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo." Trump...
  3. M

    VIONGOZI AINA YA MAGORI PALE SIMBA NI TATIZO LA KWANZA KWENYE MANAGEMENT, WANAZO AKILI ZA KIZAMANI NA MAMBO YA KIZAMANI!

    Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba! Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na...
  4. L

    Akili inakataa kuwa Camara kauza gemu ile, Nakuomba sana Magori msifikie huko

    Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo Kama lawama basi apewe Kijiri...
  5. Kinachotufelisha ni akili tu

    Kuna mambo madogo tu yanatushinda kuyatatua, sio kwamba hatuwezi, hapana. Ila kuna dhana tofauti tulizonazo zinatujenga na zinaendelea kutujenga hivi tulivyo. Nikwambie tu, hebu futa maneno uoga, umasikini, uongozi, kazi, wivu kichwani mwako, halafu niambie, jambo gani limekuja akilini mwako?
  6. Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

    Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
  7. Hivi kwanini tunaambiwa tuishi na wanawake kwa akili wakati kimsingi tunatakiwa tuishi na kila mtu kwa akili

    Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe mwerevu ila pia uwe mpole uwe kama njiwa pia uwe kama nyoka yaani full akili muda wote.ukifanya hivyo...
  8. Idea ni nyingi za biashara,jf ina mchango pia kutupa akili kwa mfano tazama idea yangu uipe marks

    Ukiwa makini na jf utapata mawazo mengi ya vitu vya kufanya.kwa mfano mimi nataka nifungue mradi niuze vitu vya kula ambavyo vina rangi nyeupe pekee.. Nazi Mayai Maziwa Karanga Maji Maharage meupe Viazi Ndizi Pop corn Mahindi Mkate Unga Vitunguu swaumu Pia naweza kuweka t shirt nyeupe Raba...
  9. Afya ya Akili na Kazi kwenye Vyama Vya Siasa

    Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu, niongelee kwa ujumla taasisi ninayofanyia kazi. Taasisi za vyama vya siasa zina umuhimu mkubwa katika...
  10. D

    Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

    Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
  11. Oktoba 10: Siku ya Afya ya Akili Duniani - Je, sehemu unayofanyia kazi inaheshimu na kujali masuala ya Afya ya Akili ya Wafanyakazi?

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili. Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
  12. Mapenzi ni matamu sana ukiyapenda tufanye mapenzi ni rutuba ya akili, utulivu na amani

    Acha tuambiane ukweli usikose mapenzi na kufanya mapenzi uko hatarini kuwa mwehu na kukosa afya akili, unapungukiwa furaha na amani, unakuwa zobe, zuzu, bwege, unakuwa kichaa unajawa na hasira hasira, kununa, kususa, umbea mwingi, unakosa focus na concentration ya kufikiria vizuri. Damu inakosa...
  13. G

    Kuishi/kufanya kazi kwenye msongamano wa watu wengi huharibu afya ya akili

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
  14. Kwa wenye utimamu wa akili tu

    Katika maisha ukishafikia umri wa kuoevuka kibiolojia ni lazima utalazimika kutimiza matakwa ya kibiolojia. Kuna umri fulani ukifikia hujaoa ama hujaolewa ni lazima utaanza kujiona ni mwenye hatia hivyo kuwa na Shauku ya kutaka kuoa ama kuolewa,hii huwatokea watu wanaoishi kwa mantiki na...
  15. Ricardo Momo apimwe Akili kwa kuachana na Malkia Cute

    Salalee, Malikia cute ni habari ya Dunia, ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Filauni, yaani Malkia cute anafaa kwa pigo zote daima mbele nyuma mwiko na, habari ya mjini usikose nyama, na mayai hutokea nyuma kwa kuku. Tuseme ukweli Malkia cute ni ameleta taharuki sana kwa ufungasho huo...
  16. Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  17. Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  18. Tukiweka ushabiki maandazi pembeni, pale Mashariki ya Kati zinaongea akili ukubwa tu!

    Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama halijaua mtu lakini fikiria watu waliokaa mpaka wakaja na hiyo silaha! Wenzetu wanatumia akili...
  19. Aina za akili

    "Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili: 1) Kiasi cha akili (IQ) 2) Kiwango cha Kihisia (EQ) 3) Kiwango cha Kijamii (SQ) 4) Kiwango cha Shida (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu. Unahitaji IQ kutatua hesabu, kukariri vitu, na...
  20. Uchekeshaji na Afya ya akili

    Kadri tatizo la afya ya akili linavyoongezeka, na wachekeshaji nao wanaongezeka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…