Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia Waamuzi wa ndani pia Klabu hiyo imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri...
Moderator, Paw 255Fixer , kichwa Cha habari kisomeke Al Ahly wagomea mechi ya dabi dhidi ya Zamalek.
Klabu ya Al Ahly imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia waamuzi wa ndani...
Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi.
Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly.
Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua ubingwa msimu huu msishangae jamaa wanapiga Mpira Sana.
Mpaka sasa Al Ahly keshabanwa vigololi vya mipira kwa bao 1-0. Stade Abidjan ambao ndio wanyonge wa kundi hilo wamemkamata koo Al-Ahly hapumui.
Sasa hivi ni halfa time.
Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅
Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox!
Ethiopia...
Wakuu
Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani.
Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live Updates...
https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk
CAF CONFEDERATION CUP...
Amefanya kazi miezi miwili tu,
Kweli mpira kazi ya ajabu sana.
---
Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation Cup group stage on Sunday against Tanzanian giants, Simba SC.
Match Day.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO
#nguvumoja#
2'
Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi.
16'
Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza.
0-1
Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa.
Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL,
Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi,
Wana akili ya mpira na wanafanya...
Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae.
Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare
Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia
Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi.
Jana mechi ile haikuwa...
Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli
Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa.
Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.
1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana.
2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika.
Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku.
Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.