Wakuu wasalaaaamu!
Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'.
Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al...
Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea
Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.
Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....
Yanga vs mamelody
Ft so far naiona drw dk 90
Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw
Marudio kutakuwa...
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
Nimeshangazwa na mashabiki wa Simba sc wakiongozwa na Msemaji wao Ahmedy Ally (kisipika) akijinadi kuwa Al ahly atafungwa kwa kuwa Wanakocha mzuri aliyewahi kuchukua Super cup mbele ya Al ahly.
Je mmesahau kuwa Kocha Robertinho aliifunga Yanga Sc akiwa na Vipers sc na timu ya Simba sc...
Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.
Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea...
1. Ayub Lakred
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Che Malone Fondo
5. Henock Inonga
6. Babacar Mtu Chuma
7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra
8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma
9. Saido Ntibanzokinza
10. Clatous Chama
11. Luis Jose Miquissone
Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5.
Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na...
Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli.
Karne ya 20 iliisha 31/12/2000. Katika mafanikio ya Al Ahly hadi kufikia tarehe hiyo, katika mashindano...
Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza.
Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE HARRASED and arrested, je video au picha itatofaitisha vipi Shabiki msouth Africa, mmisri na Shabiki...
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
alahly
falsafa
freedom of expression
jezi
kuliko
kwa mkapa
mgeni
mipaka
mkapa
mpira
mzalendo
ndumbaro
polisi
samia
simba
tanzania
uzalendo
waziri
waziri ndumbaro
yanga
Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo
Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al...
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea.
Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba.
Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa ss hv...
Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
Miaka yote ya nyuma ilikuwa ni mwiko mshabiki wa Yanga kuipenda wala kuonyesha hisia zozote za kuvutiwa na jezi nyekundu kiasi kwamba mashabiki wa Yanga walikuwa wanapata wakati mgumu sana kushabikia timu za Ulaya ambazo nyingi kubwa zinavaa uzi mwekundu.
Sijajua kama haya ni mabadiliko ya...
Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi?
Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa eti watafika fainali, sasa sijui wangeongoza kundi mbele ya mabingwa wa Afrika wangepandwa na mizuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.