Nimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan.
Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi.
Wanakutana na bingwa mtetezi na Bingwa mara nyingi zaidi katika CAFCL Al Ahly.
Ukiwatazama namna hawa wakenya wanavyocheza unaona...
Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi...
Hata atuoneshe dharau, dogo anaupiga mwingi mbaya. Kila mechi anapasua watu. Leo kapiga kamoja Al Ahly wakishindaa 3 kwa 2 dhidi ya Pyramids.
Akiwa na magoli 14 mwanaume mwamba wa Congo anapekenyua kiatu cha Misri muda si mrefu.
Naamini Pyramids watamheshimu sana Eng. Hersi kama sio kumjengea...
Hapa miaka ya karibuni kumeibuka upinzani mkubwa wa kisoka kati ya Azam na Yanga kiasi Kwamba derby ya watani imekuwa Haina mvuto kisa Simba kuonekana underdog but currently mzizima derby (Yanga na Azam) ndio hatari zaid
Je Simba tunajifunza Nini
a) sisi Simba ni level ya Al ahly.....japo...
Mwanzo na kati kati mwa msimu Gamond alionekana hana mbinu,
Timu ndogo zikipaki bus alikuwa hana mbinu.
Sasa hivi anambinu nyingi sana,
Nilianza kuziona kuanzia ile gemu ya CR BELOUZDAD na ile ya Mamelod sundowns.
Akikutana na timu ngumu akafanya sub moja au mbili mpira hubadirika ghafla...
Wakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki.
Updates ==================
30’ Esperance...
Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo rasmi la CAF tu kucheza na Al Ahly katika CAFCL huku ES Tunis ikishindwa kuwakaribisha Al Ahly katika...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.
Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na...
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika.
Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio...
Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga
Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na hongera kwa atakaye fuzu
Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa goli 1-0.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 5:00 usiku.
Je, Simba watapindua meza?
---
Kikosi cha...
Shalom,
Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo.
1. Umakini kwa dakika zote
2. Kucheza kwa speed dakika zote
3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly.
4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote.
5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo...
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Mamelod anaua utopolo vizuri tu.
Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.
Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.