al ahly

Al Ahly Sporting Club (Arabic: النادي الأهلي للرياضة البدنية‎, literal translation: The National Club), commonly referred to as Al Ahly, is an Egyptian professional sports club based in Cairo. Al Ahly is the most successful team in Africa and is one of the continent's giants. Its professional football team plays in the Egyptian Premier League, the top tier in the Egyptian football league system, and is the most decorated football club in the world. The club was founded on 24 April 1907, as a gathering place for Cairo's Student Unions.
Al Ahly has a record of 42 national league titles, 37 national cup titles, and 11 national super cup titles, making them the most decorated club in Egypt. In addition, Al Ahly has never been relegated to the Egyptian Second Division.
In international competitions, the club has won a record 10 CAF Champions League titles, a CAF Confederation Cup, a record seven CAF Super Cups, a record four African Cup Winners' Cups, an Afro-Asian Club Championship, an Arab Club Champions Cup, an Arab Cup Winners' Cup, a record two Arab Super Cups, and has won two bronze medals in the FIFA Club World Cup. With 22 African titles, Al Ahly is the most successful football club in African history, and was voted by CAF as African club of the 20th century Al Ahly is the second most successful club in the world in terms of the number of International trophies won with 23 trophies behind Real Madrid.

View More On Wikipedia.org
  1. Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek

    Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia Waamuzi wa ndani pia Klabu hiyo imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri...
  2. Al Ahly wagombea mechi yao ya daby na Zamalek.

    Moderator, Paw 255Fixer , kichwa Cha habari kisomeke Al Ahly wagomea mechi ya dabi dhidi ya Zamalek. Klabu ya Al Ahly imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia waamuzi wa ndani...
  3. Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

    Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi. Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly. Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua ubingwa msimu huu msishangae jamaa wanapiga Mpira Sana.
  4. Full Time: Stade D'abidjan 1- 3 Al Ahly | CAF Champions | group A

    Mpaka sasa Al Ahly keshabanwa vigololi vya mipira kwa bao 1-0. Stade Abidjan ambao ndio wanyonge wa kundi hilo wamemkamata koo Al-Ahly hapumui. Sasa hivi ni halfa time.
  5. Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

    Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅ Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox! Ethiopia...
  6. Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  7. CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  8. FT: Al Ahly 1-1 Zamalek | Penalties: Al Ahly 3 -4 Zamalek | CAF Super Cup | Kingdom Arena-Riyadhi | 27.09.2024

    African Derby In Saudia Arabia
  9. Chokri Khartoui kocha wa Al Ahly Tripoli afukuzwa kazi kwa kufungwa na Simba kibabe

    Amefanya kazi miezi miwili tu, Kweli mpira kazi ya ajabu sana. --- Al Ahli Tripoli has decided to sack their head coach Chokri Khatoui after failing to guide the team into the CAF Confederation Cup group stage on Sunday against Tanzanian giants, Simba SC.
  10. FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  11. Napendekeza kabla ya match kuaza kati ya Yanga na CBE na ile ya Simba na Al Ahly zisimame kwa dk1 kama ishara ya kuwahenzi waTz wenzetu waliouwawa.

    Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
  12. Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

    Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
  13. Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

    Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL, Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi, Wana akili ya mpira na wanafanya...
  14. L

    Al Ahly Tripoli ni wa kawaida lakini kazi kubwa lazima ifanyike ikiwa tunahitaji kuingia makundi

    Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae. Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi. Jana mechi ile haikuwa...
  15. Tusifanye mchezo, Al Ahly Tripoli inaweza kututoa mbele ya wake zetu kwa Mkapa

    Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa. Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.
  16. L

    Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

    1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana. 2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
  17. FT: Gor Mahia 0-3 Al Ahly | CAF Champions League Qualification | Nyayo National Stadium | 15.09.2024

    Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
  18. FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
  19. Simba na Al ahly tripoli inachezwa saangapi?

    Tuna taka kuona mnyama akishikwa sehemu mbaya na mwarabu . Tupeni ratiba watu wa mpira
  20. Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

    Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu. Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje. Hapa chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…