aliyekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mufti kuku The Infinity

    Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

    Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻 Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔
  2. JanguKamaJangu

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
  3. Roving Journalist

    TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  4. Stephano Mgendanyi

    Mjue Mbunge Maganga Aliyekuwa Dereva wa Malori na Mabasi na Sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mbogwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA: NILIKUWA DEREVA WA MALORI NA MABASI, SASA NIMEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE "Nimetokea familia ya maisha ya kati sana. Baba yangu ni mkulima na Mfanyabiashara, nimebahatika kuwa mtoto wa nane katika familia yetu. Tulikuwa tunaishi Shinyanga Vijijini lakini baadaye...
  5. BARD AI

    Marvel na Walt Disney zampiga chini Jonathan Majors kutokana na kesi ya Unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama kumkuta Mwigizaji huyo na hatia ya kumpiga na kumnyanyasa kimwili, Grace Jabbari, aliyekuwa mpenzi wake amnaye alimfungulia Kesi Majors Machi 2023. Katika mashtaka, Grace alidai alikuta Meseji za Mapenzi kwenye Simu ya Majors na alipojaribu kuchukua SImu...
  6. snipa

    Kampuni ya Open AI imetangaza kuwa aliyekuwa CEO Sam Altman amekubali kurudi kazini

    Aliyekuwa CEO wa Kampuni ya Open AI ambayo imejikita katika masuala ya akili Bandia Bwana Sam Altman Amekubaki kurudi Tena kuiongoza Kampuni hiyo baada ya kufukuzwa kazi siku chache zilizopita. Ikumbukwe baada ya Sam Altman kufukuzwa kazi Kampuni hiyo imejikita ktk changamoto kubwa ikiwemo...
  7. Ritz

    Aliyekuwa mshauri wa Usalama wa Taifa wa Obama, Stuart Seldowitz anaonesha ubaguzi wa wazi kwa Wapestina

    Wanaukumbi. Islamophobia and blatant discrimination is widespread in many Western countries. This is supposedly a video of Stuart Seldowitz, a former advisor to President Obama threatening a food vendor. This systematic prejudice against Muslims is sadly found on both sides of the aisle...
  8. benzemah

    Aliyekuwa Mkurugenzi Igunga aendelea kusota Mahabusu Sakata la Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Athumani Msabila na wenzake watano wakiendelea...
  9. Choosen85

    Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Wakuu mulibwanji? Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye. Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba...
  10. Mhaya

    RASMI: Belouizdad yamfuta kazi kocha wake Sven Vandernbroeck (Kishingo) aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba

    Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1) ambapo Wikiendi hii Timu hiyo ilipoteza mchezo wake wa Ligi wakiwa nyumbani dhidi ya Klabu ya Khenchela...
  11. BARD AI

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sumbawanga kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwachukulia hatua watumishi wote waliobainika kusababisha changamoto kwenye miradi inayotekelezwa Sumbawanga akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jacob Mtalitinya...
  12. JanguKamaJangu

    Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

    Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki...
  13. LESIRIAMU

    Dkt. John Pima aliyekuwa DED Arusha na wenzake wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Agost 31, 2023 na Hakimu Seraphin Nsana, katika kesi namba...
  14. P

    SI KWELI Mkoa wa Njombe una kijiji kinachomilikiwa na aliyekuwa Malkia II wa Uingereza

    Wakuu kwema? Katika pitapita zangu mtaani nimesikia barabara ya Njombe - Songea imejengwa na Malkia wa Uingereza na kwamba Hayati Queen Elizabeth II ndiye mmiliki wa mashamba ya chai maeneo hayo. Ila kubwa zaidi ni kuwa, Njombe kuna kijiiji kizima ambacho ni mali ya Malkia huyo. Je, hili lina...
  15. DR Mambo Jambo

    Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
  16. Suley2019

    Aliyekuwa Waziri Mkuu Thailand ahukumiwa jela miaka 4

    MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela. Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo imeandika kuwa Shinawatra alikamtwa saa chache baada ya kurejea nchini humo baada ya kuwa nje kwa muda...
  17. mdukuzi

    Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu. Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo, Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000. Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
  18. GENTAMYCINE

    Baada ya Zougrana aliyekuwa Kaandaliwa Jezi Namba 6 iliyokuwa ikipambwa Kuwatosa aliyelazimishwa Kuivaa Skudu awaumbua

    "Kiukweli sijawahi kuvaa Jezi Namba Sita ( 6 ) na siipendi pia na hata katika Timu zote nilizocheza huwa navaa Jezi yangu pendwa namba Kumi na Moja ( 11 )" "Kilichotokea nilipigiwa Simu na Rais wa Yanga SC Hersi Said na Kuniomba nikubali Kuvaa Jezi namba Sita waliyokuwa Wakiipromoti na...
  19. J

    Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  20. Chachu Ombara

    SI KWELI Uganda: Mwendesha bodaboda aliyekuwa amepakia ndizi na kukatiza mbele ya kundi la Simba auawa na kuliwa na simba hao

    Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa wanaokula mnyama waliyemuua. Inasemekana baada ya kuwapita Simba, pikipiki yake ilipata hitilafu ambapo...
Back
Top Bottom