UZI MAALUM
Ikiwa taifa lolote litaingia kwenye machafuko (vita au mapigano ya wenyewe kwa wenyewe) kwasababu ya siasa, dini, makabila, n.k - yafuatayo ni baadhi ya matokeo ambayo yanaliandama taifa lililoingia kwenye machafuko.
Kabla sijaorodhesha matokeo hayo kwanza rejea mataifa ya Afrika...