CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE/REX/SHUTTERSTOCK
26 Oktoba 2023
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, alielezea wasiwasi wake kuhusu "ukiukwaji wa wazi wa sheria ya kimataifa ya kibinadamu huko Gaza," na kusisitiza kwamba "hakuna upande wowote katika mgogoro wa silaha ulio juu ya sheria...