KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo:
1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo.
Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu...
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi.
Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha kawaida, kuvurugika kwa hedhi ni dalili kwamba kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi hivyo ni...
Baba kwani mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi?? Lilikua ni swali kutoka kwa mwanangu wa miaka 5, nilistuka kidogo kwani alikua anazungumzia mambo ya kufa.
Ndiyo kwanza tulikua tumetoka kuzunguka Mlimani City kwaajili ya kuwanunulia wanangu watatu zawadi na tulikaa kidogo ili kunywa Juice...
BUNDI ni jamii ya ndege anayeishi kwa kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na mara nyingi hutumia mchana kupumzika. Ni ndege mwenye uwezo mkubwa wa kusikia mirindimo ya sauti iliyo ndogo kiasi kwamba binadamu hawezi kuisikia. Huwasikia na kuwavamia...
SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Hellen Makwani anasema ni saratani ambayo huanzia kwenye utumbo mpana na kazi ya...
Munir Akram Balozi wa Pakistan Kwenye Umoja wa Mataifa Anazungumia Kuhusu Ubaya wa israil kuwauwa Raia wa Kipalestina wasiokuwa na hatia. Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas.
The map shows the world's most dangerous countries (Image: travelriskmap.com)
Vacationers have been advised not to travel to the world's most dangerous countries, which are highlighted on an interactive map created by International SOS. These nations are where tourists are most likely to...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta baada ya kutia saini mkataba mpya huko Kigali Desemba 5, 2023. Picha na Ben Birchall / POOL / AFP.
Migawanyiko imeibuka katika chama cha Conservative juu ya mpango wake wa kisheria...
SIGN OF VITAMIN B12 DIFICIENCY SYMPTOMS
JICHUNGUZE KWENYE ULIMI WAKO UKITOKEA ALAMA KAMA HIZI KIMBIA HARAKA HOSPITALI KAMUONE DAKTARI UTAKUWA UNA UPUNGUFU WA VITAMIN B12 MWILINI MWAKO NI HATARI UKIPUUZA
=======
Haji Manara amelalamikia shirika la umeme nchini, Tanesco kukata umeme kwa muda mrefu na kusababisha kutumia gharama kubwa kuwasha jenereta. Manara amesema wananchi wengi hawana uwezo wa kununua jenereta au kununua mafuta ya kuendesha majenereta hayo.
"Hivi ni kwanini bando zina expire? Simu ni ya kwangu, nimenunua bando kwa fedha yangu halafu unanilazimisha nitumie kwa muda unaotaka wewe, hii ni kwanini Mh Spika? Kama ni sheria, basi iletwe sheria hapa ibadilishwe, kwasababu tunaibia wananchi.
"Anatafuta fedha kwa jasho, ananunua simu...
Wana Bahati sana hawa Wafanyakazi wazembe wa Bandari mjini Dares-Salaam. Laiti kama ningelikuwa ndio mimi Rais wa nchi ninge wasimamisha kazi na huku uchunguzi unafanyika na ikibainika maneno anayo yasema huyu mfanya biashara kijana ni maneno ya ukweli basi ningeliwafukuza kazi wote wanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.