Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake.
Na kama mwanaume anataka kumpa talaka mkewe, pia ni sharti akate vidole vyake viwili...
Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Edorgan akiwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin jijini Moscow
MSAIDIZI Mkuu wa Rais wa Uturuki amesema kuwa jumuiya ya kimataifa haiwezi kumaliza vita nchini Ukraine kwa kuipuuza...
Tunaburudika tukiwa mbali na nyumbani, tunapuuzilia mbali kutumia simu ya rununu kwa muda na tunapoangalia mfukoni, begi au mahali tulipoiweka, haipo tena.
Wezi wanaweza kuwa na ujuzi mkubwa wa kuiba simu za mkononi kwa kipindi kifupi tu.
Mbali na kutufanya tujisikie vibaya, wizi wa simu za...
Bondia wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson amempiga ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya mtu huyo "kumrushia chupa ya maji," msemaji wa Tyson amesema.
Video iliyochukuliwa kwenye ndege hiyo inamuonesha Tyson akiwa ameegemea kiti chake huku akimpiga ngumi za mara kwa mara mtu ambaye...
Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden ametoa matamshi kadhaa ambayo yameonyesha kuongeza joto uhusiano kati ya Marekani na Urusi.
Hata hivyo, maneno yake ya mwisho katika ya hotuba inayotajwa kama "hotuba kubwa" nchini Poland siku ya Jumamosi - yanaoonekana kumtaka...
Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine.
Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI.
Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya taarifa hizi. Tovuti inaeleza kuwa vitabu vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa...
Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu.
=========
Freeman Mbowe: Leo nimewaona wakristo wenzangu, sikusudii kuzungumza mengi zaidi ya shukrani. Nimepata hofu sana na hofu kubwa...
MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA.
Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.