How to Get Wi-Fi Without an Internet Provider
The internet is an invaluable resource that most of us need on a daily basis. If you don’t have an internet connection at home or you’re traveling to a place with no Wi-Fi or a poor connection, you might be wondering: “How can I get Wi-Fi right...
Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya.
Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
abiria
amavubigfsonwin
king'asti asprin
kubeba
maendeleo
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mapinduzi
meli
serikali
serikali ya mapinduzi
tani
uwezo
yauzwa
zanzibar
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya.
Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
My Take
Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dares Salaam (DAWASA), Cyprian Luhemeja ametangaza upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam kurejea kwa asilimia 100.
“Kwa sasa hali ya maji ni nzuri na huduma ya maji imerudi kawaida na safari hi tumerudi kwa kishindo...
Tanzania ni Nchi pekee Afrika ambayo imetoa uraia kwa Wakimbizi 162,000 wa Burundi, 30,000 wa Rwanda na 10,000 wa Somali Bantus.
Mwakilishi wa Shirika la Wakimbizi Duniani upande wa Tanzania, Mahoua Parums ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa Ushirikiano kwenye masuala ya Wakimbizi katika kikao...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema makali ya mgawo wa umeme yanaendelea kupungua, baada ya megawati 350 Zilizopunqua siku za hivi karibuni kuanza kureiea na wiki ijayo zitaendelea kushuka hadi megawati 100.
Aidha, limesema hadi Februari mwaka huu hakutakuwa na mgawo wowote kutokana...
Kisonono (gonorrhea) ni nini?
Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
Hizi ndizo akili za viongozi wa Tanzânia zilipofikia wanatangaza kifo cha Faru kwa huzuni lakini wanashindwa kutangaza habari za waliwopatwa ajali ya ndege kwao Faru ana thamani kuliko Mtanzania wa kawaida.
Marehemu Rais wetu mpendwa RIP Doctor Magufuli aliwahi kutabiri kuhusu Umeme na Maji alisema kuwa akiondoka matatizo yatarudi kama zamani na leo hii yamerudi tena matatizo ya Umeme na Maji kwa njia ya mgao Lohhh Aliyeturoga sisi Wa-Tanzania ameshafariki miaka mingi hatuwezi tena kupona maradhi...
Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe.
Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.