amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz 1.BC investiment 2.QNET 3.EARNJET AGENCIES 4.DAJIP 5.NEXTSTEP VENTURE 6.PAMA FUND 7.SME 8.IDEA DEBATOR 9.DEAL NO.1 10.SCATEC 11.GLOBAL 12.ALIANCE 13.PAYMARA 14.CRYPTO BOND 15.SUPREME HARVESTERS 16.ZIRCON 17.INCLUSIVEFX 18.GROSSBYTE 19.VORTEX...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wananchi wameshachoka kimaisha wameamua kujichukulia sheria mikononi mwao

    Majangaa kweli inafika wakati Wananchi wanachoka na kuamuwa kujichukulia sheria mikononi mwao hatari kweli. Mungu atusaidie tuondokane na umasikini, njaa na maradhi amin.
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha

    Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha Kumeza dawa ambazo inachanganya ibuprofen na codeine inaweza kuwa sumu. 6 Oktoba 2022 Shirika la Ulaya la madawa la Ulaya (EMA) limetoa tahadhari wiki hii kuhusu athari za utumiaji wa mchanganyiko huu, ambao hutengenezwa...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Chinese firm wades into Tanzania, Uganda oil pipeline saga

    By Ephrahim Bahemu Mwandishi wa habari za uchumi na biashara Mwananchi. Kampuni ya China yaingia Tanzania, Uganda sakata ya bomba la mafuta What you need to know: The $4 billion worth project will cover 1,445 kilometres, 80 percent of which is on Tanzanian soil, involving a 62 percent...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    How To Fix ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11

    How To Fix ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11 ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11. It’s a common issue that is faced by users across the world. Many consumers get confused by this circumstance, which leads to a lack of understanding about what is generating the...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    How To Fix Slow LAN Speed On Windows 11

    How To Fix Slow LAN Speed On Windows 11 In this article, we will explain 6 methods that can fix slow LAN speed on Windows 11. Whether you are attending an online meeting or playing an online multiplayer game, a stable internet connection is a must for a perfect online experience otherwise it is...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    12 Common Windows 11 Issues And Fixes

    12 Common Windows 11 Issues And Fixes Windows 11 is a bit of a mishmash. On the one side, many users would like to stay on Windows 10. Better window snapping choices, more flexibility over desktop systems, and new design touches such as curved edges on windows are all compelling reasons to...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    How To Install Windows 11 On Unsupported Devices

    How To Install Windows 11 On Unsupported Devices Microsoft’s latest operating system, Windows 11, is now here, and while it comes with a long list of system requirements, it’s feasible to get around them. Microsoft has even written a blog post describing how to install Windows 11 if you don’t...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Windows 11 Restarts Automatically? Try These Fixes.

    Windows 11 Restarts Automatically? Try These Fixes. Annoyed because your Windows 11 restarts automatically? Don’t worry we’ll help you fix it. Have you recently upgraded your PC to Windows 11 and experienced this horrific issue where your Windows 11 PC restarts automatically? We know how...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Baadhi ya viongozi wa Afrika wakienda Marekani wanakaa hoteli za kifahari

    Hatari kweli viongozi wa Bara la Afrika Tanzania ni mojawapo, wakija mjini New York nchini Amerika, wanatumia pesa nyingi kukaa katika mahoteli ya kifahari kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa aka UN. Wakati wananchi wao wanakufa na njaa na umasikini majangaa kweli hayo.
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mganga huyo wa asili kutoka Tanga ana tibu matatizo yote

    Mganga huyo wa asili kutoka Tanga ana tibu matatizo yote
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tanzania yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola

    Tanzania yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola Wizara ya Afya nchini Tanzania imewashauri wananchi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola siku moja baada ya nchi jirani ya Uganda kuthibitisha mlipuko mpya wa virusi vya ugonjwa huo. Naibu Waziri wa afya Dk Godwin Mollel...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nimeuziwa mbwa badala ya ng'ombe looh majangaa

    WATU WA IRINGA AKA WATANI WANGU NI HATARI SANA WAMENIUZIA MBWA BADALA YA NG'OMBE.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mvulana wa miaka 10 alikamatwa nchini Uchina kwa kumkaba koo hadi kufa Bibi yake Mzaa Mama

    Michelle De Pacina Mvulana mwenye umri wa miaka 10 amekamatwa nchini China kwa kumweka nyanyake kwenye kitanzi cha kichwa na kumnyonga hadi kufa. Katika video inayosambaa mitandaoni, bibi huyo anaonekana akimpiga mvulana huyo mara mbili kichwani kabla ya kumpiga ngumi ya kifua na kumshika...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

    Dr. Mwaka amjibu Shekhe wa Mkoa wa DSM Dr. Mwaka amesema kuwa watanzania siyo wajinga na wanayofanyiwa wanayaona, Masheikh wachafu na wasafi wapo na watanzania wanawajua. Ushahidi wa Masheikh hawa wachafu, watanzania wanao na hata yeye Mwaka mwenyewe anao pia. Akasema kuna watu ambao kwa...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwanamke adai kupigwa ngumi na mchungaji wakati wa maombi

    Mwanamke mmoja ameshindwa kuzuia hasira zake baada ya kudai kupigwa ngumi ya usoni na mchungaji wakati akimuombea. Katika video iliyopostiwa kwenye Mtandao wa TikTok, mwanamke huyo anaonekana akiongea kwa hasira kwamba mchungaji alikuwa akimuombea na kumpiga ngumi kwa uchungu usoni kama njia ya...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake

    Mafuriko Makubwa yaliyotokea nchini India kila mtu akijaribu kumuokoa mungu wake asipatwe na mafuriko. Loooh Majanga kweli kweli.
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kibanda cha mlinzi gharama yake ni Tsh Milioni 11

    Viongozi wanapiga pesa kibanda hicho hakiwezi kufika hata Shilingi Milioni 4 Looohh Majangaa kweli. Ama kweli Kazi iendelee........Hongera Mama Rais.
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wamekubali akina Mwigulu Nchemba na mawaziri wenzake kuhusu tozo za mialama ya simu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma juzi. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Innocent Bashungwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na wenye...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Picha zangu za leo katika ubora wake

    UNAZIONAJE?
Back
Top Bottom