amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  2. Lady Whistledown

    Mkurugenzi amvua madaraka Mganga Mfawidhi hospitali ya Kivule

    Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomari Satura, amemvua madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya Kivule kwa kushindwa kusimamia majukumu yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Julai 8, 2023 na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano, Tabu Shaibu, hatua hiyo imefikiwa baada ya kushindwa...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la Makuti

  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Turkey's President Erdogan gives green light to Sweden's NATO bid, says Stoltenberg

    Speaking to reporters in Vilnius, ahead of the NATO leaders summit, Stoltenberg said President Erdogan and Swedish Prime Minister Kristersson had agreed to terms to advance Sweden's NATO application. Turkey has decided to lift its veto on Sweden's NATO membership, NATO Secretary General Jens...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Odinga apanda daladala kwenda kazini

    Muktasari: Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga leo Jumatatu ametumia usafiri wa umma maarufu matatu au daladala kwenda kazini. Hatua hiyo imeibua mijadala mitandaoni. Kenya. Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga mapema leo Jumatatu, Julai 10, 2023 ametumia...
  6. JanguKamaJangu

    Watu 34 wapotelea baharini wakivuka kwenda Ulaya

    Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na wengine 67 hawajulikani walipo. Mamlaka zinaamini boti hiyo ilikuwa inaelekea Italia, wakati huohuo...
  7. JanguKamaJangu

    Senegal: Boti iliyobeba Wahamiaji 200 yapotea kwenye maji

    Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita. Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais Samia atamani JKT ya kisasa zaidi

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajab Mabele leo Julai 10, 2023 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Picha na Ikulu. Muktasari: Rais Samia...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nchi 9 mpya za Afrika kupokea mamilioni ya chanjo za malaria

    Afrika ina idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa malaria duniani na jitihada zinafanywa kupunguza mzigo huo. Malaria inasalia kuwa moja ya magonjwa hatari zaidi barani / Picha: AP Muungano wa kimataifa wa chanjo (GAVI) umesema nchi 12 barani Afrika zitapokea dozi milioni 18 za chanjo ya malaria...
  10. Mmawia

    Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

    Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali. Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa. Asante sana wazungu kwa uwajibikaji. Kuhusu ndege kukamatwa soma Serikali yakiri Ndege yake kushikiliwa Uholanzi, sababu ni kushindwa kesi...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tanzania: Kivutio bora cha Utalii Afrika, watalii wasema

    Uhamiaji wa Nyumbu wa Bluu, Connochaetes Taurinus, Wakitembea Machweo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Kusini. / Picha: Picha za Getty / Photo: Getty Aidha, Serengeti imenyakua nafasi ya tatu Nyuma ya Mauritius and Kathmandu kwenye kitengo cha Maeneo Bora ya Asili - Ulimwenguni. Serengeti...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa dharura kuhusu 'ongezeko la tishio' kwa uchomaji moto wa Quran Ulaya

    Umoja wa Mataifa unasema visa vya uchomaji Quran vinaongezeka barani Ulaya. Picha: AFP Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura katika siku zijazo kujadili matukio ya hivi karibuni ya kuchomwa moto kwa kitabu kitakatifu cha Quran barani Ulaya, msemaji wa...
  13. Sildenafil Citrate

    Papa Francis alaani kuchomwa kwa Quran

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunaini, Papa Francis, amelaani kwa matamshi makali vitendo vya kuchomwa kitabu kitakatifu kwa Waislamu, Qur'an. Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu vitakatifu vya dini kama njla ya kuonesha heshima kwa Watu wanaoviamini, katika mahojiano na gazeti...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Erdogan ameapa kujenga upya mji uliokumbwa na Tetemeko

    erdogan / Photo: AA Archive Rais wa Uturuki ameapa kulijenga upya eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 50,000 mwezi uliopita. "Lengo letu ni kuinua eneo la tetemeko la ardhi," Recep Tayyip Erdogan alisema Jumapili baada ya chakula...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ujasusi wa Uturuki 'yamkata makali' mkuu wa kijasusi wa Iraq wa PKK

    Ankara imekuwa ikifanya mashambulizi kadhaa ya kupambana na ugaidi kaskazini mwa Iraq ili kuwaangamiza magaidi. / Picha: Jalada la AA Hasan, kwa jina maarufu Celal Kaya, aliyetambuliwa kama 'afisa wa Ujasusi' na kundi la kigaidi la PKK nchini Iraq, "amekatwa makali " katika operesheni...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mabadiliko ya sheria ya kupambana na ugaidi ya Sweden yanapaswa kuonyeshwa kwa vitendo

    Maafisa wakuu kutoka nchi hizo tatu wanachunguza pingamizi la Uturuki dhidi ya uanachama wa Uswidi katika muungano wa kijeshi, na kuona ni nini zaidi kifanyike ili kuvunja mkwamo huo. Mkutano wa Alhamisi unakuja kabla ya mkutano wa kilele wa NATO huko Vilnius, Lithuania utakaofanyika Julai...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Erdogan asema Ukraine inastahili nafasi katika NATO. Zelenskyy asifu Uturuki kwa usaidizi wake

    Erdogan amefanya mazungumzo na Zelenskyy Istanbul / Picha: AA Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemueleza mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kuwa Kiev ilistahili kujiunga na NATO, lakini pia ameiambia ifanye mazungumzo ya amani na Moscow. "Hakuna shaka kwamba Ukraine inastahili...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hizi ni sababu 7 kwa nini ule ndizi leo

    dizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini. Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na: 1: Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ama kweli huduma ya afya ya Zanzibar haitokuwa na tofauti na Uingereza

    Haya mambo mengine bora mtu ucheke tu upate thawabu. Hakuna Watu waongo katika Dunia hii kama Wanasiasa.
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mtoto wa masikini na mtoto wa tajiri

    Mtoto wa maskini na mtoto wa tajiri.
Back
Top Bottom