amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Donald Trump: Vitu 8 ambavyo hakuvijua kuhusu rais huyo wa zamani wa Marekani

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Donald Trump 5 Oktoba 2022 Kuna vitu vya ajabu ambavyo vimejitokeza kuhusu rais huyo wa zamani kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Confidence Man cha Maggie Haberman kilichozinduliwa siku ya Jumanne. Kitabu hicho kinaangazia muda wa Donald Trump...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Donald Trump 2024: Mambo sita yanayoonesha kwanini ni vigumu kushinda uchaguzi safari hii

    Donald Trump ametangaza azma yake ya kuwania urais kwa mara ya tatu, katika jaribio nadra sana la kiongozi wa zamani wa Marekani kutaka kuingia tena Ikulu ya White House baada ya kushindwa katika uchaguzi. Wasaidizi wa rais huyo wa zamani wanasema tangazo hili - na kampeni hii - itaonekana zaidi...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Trump awaambia wafuasi wa Republican ni yeye pekee anayeweza kushinda uchaguzi wa 2024

    ReutersCopyright: Reuters Wawaniaji wa urais wa chama cha Republican wameshiriki jukwaa moja kwa mara ya kwanza katika kinyang'anyiro cha Ikulu ya Marekani 2024 kwenye hafla ya kampeni ya Iowa. Wapinzani wakuu Donald Trump na Ron DeSantis waliongoza hafla ya wa kila mwaka ya chama cha...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wagner wanaweza kujifanya kama wahamiaji kuingia EU - Waziri Mkuu wa Poland

    Wapiganaji wa Wagner nchini Belarus wanaweza kujifanya wahamiaji na kuingia EU, Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki ameonya. Wagner pia wanaweza kunaweza kuchangia uhamiaji haramu kutoka Belarus, ambayo Poland inaelezea kama "vita vya mseto", anasema. Takriban wapiganaji 100 wa Wagner...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mapinduzi Niger: Makao makuu ya chama tawala yashambuliwa baada ya Rais Bazoum kuondolewa madarakani

    CHANZO CHA PICHA,EPA 28 Julai 2023 Wafuasi wa mapinduzi ama watu wanaounga mkono mapinduzi nchini Niger wameyashambulia makao makuu ya chama cha rais aliyepinduliwa na kuyachoma moto, kurusha mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje. Kikundi kidogo cha wachomaji moto kilikuwa kimejitenga na kundi...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Marekani yatoa 'msaada usio na kikomo' kwa rais aliyeondolewa madarakani Niger

    CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo ya picha, Rais wa Niger Mohamed Bazoum Maelezo kuhusu taarifa Author,By Tchima Illa Issoufou & Cecilia Macaulay Nafasi,BBC News, Niamey & London 29 Julai 2023, 10:27 EAT Marekani imetoa "uungaji mkono wake usio na kikomo" kwa rais aliyepinduliwa nchini Niger...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi

    Mkutano wa Urusi na Afrika: Putin anataka kuongeza ushawishi CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES 28 Julai 2023 Wakati Rais Vladimir Putin akifungua mkutano wa kilele wa Urusi na Afrika mjini St Petersburg leo Alhamisi, orodha ya waliohudhuria inatazamwa kwa karibu - huko Paris, Washington, London, na...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ikiwa nyoka ataingia nyumbani kwako, fanya hivi

    Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati tunakula. Baada ya kumaliza chakula kilichobaki tukiwa gizani, nilienda kwenye bomba lililokuwa karibu na...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kwa nini bandari Tanzania itaendelea kuwa ‘kaa la moto’?

    Na Beatrice Kimaro Mchambuzi, Tanzania CHANZO CHA PICHA,HABARI LEO Ikiwa na bandari tatu kubwa upande wa bahari ya Hindi na nyingine kadhaa upande wa maziwa, Tanzania imekuwa kiungo muhimu kwa nchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ndege mpya ya kivita ya Kituruki Model tf-x iko katika hatua ya mwisho kuundwa

    Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line. 20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon and Su-57 Felon in terms of size. source. Military Tactics Ndege ya 5 Kivita ya Kituruki TF-X ipo...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Zifahamu mbaazi na faida zake

    Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda wa masaa ishirini na nne au siku moja. Chuja na uweke dawa hii mbali na jua/joto ni vizuri kama...
  12. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane Kusini Magharibi mwa Nigeria

    Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane kusini magharibi mwa Nigeria AFPCopyright: AFP Takriban watu 8 wamethibitishwa kufariki kutokana na mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Ondo Kusini Magharibi mwa Nigeria baada ya wakaazi kuchota mafuta kutoka kwa lori hilo...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    "Sote watatu ni wapenzi na tunalala kitanda kimoja"

    Na Humpo Lakaje, BBC CHANZO CHA PICHA,NHLANHLA MOSHOMO Maelezo ya picha, Kuanzia kushoto ni Lithabo, Fletcher na Lunia. Na mtoto huyo ni wa Fletcher na Lithabo Mtindo mpya unaoitwa 'Polyamory' unaibuka miongoni mwa vijana wa Afrika Kusini. Polyamory inamaanisha kuwa katika uhusiano wa...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tafsiri na uchambuzi Mkataba wa Bandari Tanzania na Dubai

    MKATABA NDIO HUO KWA LUGHA YA KISWAHILI USOME NA UELEWE. TAFSIRI NA UCHAMBUZI MKATABA WA BANDARI TANZANIA NA DUBAI. UTANGULIZI; Februari 28, 2022, Rais Samia alipokwenda UAE kuhudhuria Maonesho ya Dubai 2020, ilisainiwa hati ya makubaliano (MoU), baina ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    ADC yamtaka Msajili wa Vyama kuchukua hatua kwa vyama vinavyokiuka katiba

    Mwenyekiti wa Chama cha ADC, Hamad Rashid. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Chama cha Alliance for Democrating Change (ADC ), kimetoa rai kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kuchukua hatua kwa vyama ambavyo vitashindwa kufuata katiba yake. Akizungumza na MTANZANIA DIGITAL Julai 20, 2023...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kamasi ni sababu ya magonjwa yote

    Kamasi ni sababu ya magonjwa yote. RIP DR.SEBI Hili ndilo swali nililoulizwa mahakamani, kwamba kwa nini tunatoa madai haya na kwa nini tulifanikiwa sana na kinachoendelea ni kwamba ugonjwa huo haukutambuliwa kwetu. Ikiwa ingetambuliwa swali lisingeulizwa sasa na kisha sisi sote, sisi wote...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wakenya, Waganda na Watanzania wanalala nje katika mitaa nchini Canada

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Makamu wa Rais wa Kolombia ameruhusu lugha ya kiswahili itumike mashuleni hongera zake

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Gari la kwanza la umeme lazinduliwa Tanzania

    Dar es Salaam. Mchoraji katuni wa Tanzania, Masoud Kipanya amezindua rasmi gari lake ambalo ni la kwanza la umeme kutengenezwa hapa nchini. Kipanya, amesema gari hilo la umeme ni wazo lake binafsi la ubunifu ambalo lilimchukua miezi 11 kukamilika. Gari hilo ambalo ni rafiki kwa mazingira kwa...
Back
Top Bottom