Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunaini, Papa Francis, amelaani kwa matamshi makali vitendo vya kuchomwa kitabu kitakatifu kwa Waislamu, Qur'an.
Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu vitakatifu vya dini kama njla ya kuonesha heshima kwa Watu wanaoviamini, katika mahojiano na gazeti...