amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  2. Korti yazidi kumweka kifungoni Fatma Karume

    Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga kusimamishwa. Wakili Karume maarufu kama Shangazi, alisimamishwa kwa muda kutoa huduma hiyo na Mahakama Kuu...
  3. Picha yangu ya leo Jioni

    Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na wewe unayelalamika ovyo?
  4. Tanzania ni nchi tajiri lakini wananchi wake ni masikini, ajabu sana

    Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika. Hifadhi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa...
  5. Msikilize Lusinde ishu ya Bandari kukodishwa

    MSIKILIZE LUSINDE ISHU YA BANDARI KUKODISHWA.
  6. Dkt. Wilbroad Slaa asema zuio la maandamano sakata la bandari ni kinyume cha sheria

    Dkt. Slaa: Leo naomba kuzungumza nanyi kidogo kwa mujibu wa katiba yetu ibara ya 20. Nina taarifa kwamba kesho asubuhi majira ya saa mbili vijana wataandamana kutoka Temeke kwenda kukabidhi maoni yao, hoja zao, kwa mpendwa Rais wao kule Magogoni. Vijana hao ambao wanaandamana walipeleka barua...
  7. Dalili kubwa 20 za mtu kuwa na uchawi mwilini

    DALILI KUBWA 20 ZA MTU KUWA NA UCHAWI MWILINI Watu wengi wamekuwa wakirudishwa nyuma kimaisha na kujikuta wakiangukia pua bila kujua chanzo nini. Wachawi wana mbinu kali hasa wanapotaka kutekeleza jambo lao. Nimekuwekea dalili za kufahamu kama una uchawi mwilini mwako. Kuota mara kwa mara...
  8. Trilioni zetu 360 zipo wapi? Leo Bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3!

    Luhaga Mpina: Trilioni Zetu 360 Zipo Wapi? Bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3. "Tunazo trilioni 360 zimeshikiliwa na Mahakama uamuzi haujatoka, nilitegemea kwenye mpango hapa isemwe hela hizo ziko wapi. Leo bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3 tulizopewa na IMF mpaka mikono...
  9. Mpina akiwasha tena Tsh. Trilioni 2 za SGR ataka mkandarasi atimuliwe. Naibu Waziri amjibu

    Mpina akiwasha tena Sh2 Trilioni za SGR ataka mkandarasi atimuliwe; Naibu Waziri amjibu
  10. Picha Yangu ya leo

  11. RC Chalamila akitoa Mawaidha kwa Wakristu

    Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila akitoa mawaidha wa Wakristu.
  12. Mwandishi Mkuu Gazeti la Mwananchi ashauri Serikali kubadili msimamo Uraia pacha

    Dar es Salaam. Mwandishi wa Habari Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, Elias Msuya ameshauri Serikali kutazama upya msimamo wake kuhusu zuio la uraia pacha, akisema uraia pacha utasaidia kufungua milango kwa Watanzania na fursa za Taifa kunufaika kiuchumi. Msuya ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Mei...
  13. Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  14. Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII" Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari? Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa. Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
  15. “Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki

    “Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki Nchi hizi mbili zinafanya kazi pamoja katika nyanja nyingi Tanzania na Uturuki wana ushirikiano mzuri wa kidiplomasia I Picha Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mheshimiwa Lt Jenerali (Mst) kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini...
  16. Tanzania yajipanga kujenga setelaiti yake

    Tanzania yatangaza mpango wa kujenga na kurusha setelaiti yake angani. Picha: Ikulu Tanzania Katika kukuza na kuendeleza tekinolojia, Tanzania kupitia rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan imetangaza kuwa inajenga setelaiti yake na tayari harakati zimeanza. Na Lulu Sanga Kwa mara ya kwanza...
  17. 'Vyombo vya habari vya Magharibi vilivyo na upendeleo vinavyojaribu kushawishi uamuzi wa wapiga kura wa Uturuki'

    ‘Biased Western media trying to influence decision of Turkish voters’ Several Western-based publications have been accused of biased reporting, with suggestions that this is an attempt to influence the voting behaviour of the Turkish public. AA "Turkish people will show these news outlets that...
  18. Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  19. Ipe neno picha yangu ya leo..

  20. Ipe neno picha yangu ya leo..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…