Je, Iran ilitengeneza vipi kombora la hypersonic ambalo linaweza kufika Israel kwa 'sekunde 400' licha ya vikwazo?
Maelezo ya picha,Teknolojia ya kombora la Balistiki ilitengenezwa wakati wa Vita vya Pili vya Dunia lakini ni nchi chache ulimwenguni ambazo zina uwezo kama huo.10 Oktoba 2024
Na...
Maelezo ya picha,Mfalme Philippe ameonyesha kusikitishwa na unyanyasaji wakati a ukoloni katika barua aliyomuandikia rais Félix Tshisekedi wa DR Congo
Mfalme wa Ubelgiji Philippe ameonesha masikitiko yake juu ya unyanyasaji wa kikoloni wa nchi yake uliofanyiwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
Diego Garcia, kisiwa kilicho mbali katika Bahari ya Hindi, ni peponi kwa mimea na fukwe zenye mchanga mweupe, kwenye maji ya buluu.
Lakini kisiwa hiki sio kivutio cha watalii. Ni kituo cha kambi ya siri ya kijeshi ya Uingereza na Marekani - kisiwa kilichogubikwa na uvumi na siri kwa miongo...
Chanzo cha picha,Reuters
Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa
Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
Chanzo cha picha,AFP
19 Septemba 2024
Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara ya afya ya nchi hiyo inasema.
Simu za upepo zinazotumiwa kwa mawasiliano na kundi lenye silaha la...
Play video, "Watch: Small explosion in Lebanon supermarket", Muda 0,22
00:22
Maelezo ya video,Tazama: Mlipuko mdogo katika duka la jumla la Lebanon
20 Septemba 2024
Wakati umati wa watu ulipokuwa umekusanyika kuomboleza baadhi ya waliouawa katika wimbi la mashambulizi ya bomu Jumanne, mlipuko...
Chanzo cha picha, Getty Images
Magazeti ya Uingereza na Kiarabu bado yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na taarifa za milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya 'pager' nchini Lebanon, huku yakijadili athari za mashambulizi haya kwa sura na sifa ya Hezbollah, na uwezo wa shirika la ujasusi la kigeni la...
Chanzo cha picha, Ikulu ya Tanzania
Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu HassanMaelezo kuhusu taarifa
Wachambuzi wa siasa wameonesha kushangazwa kwa kiasi fulani na ukosoaji wa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hisia za umma kuhusiana na tukio la kutekwa na kisha kuuawa kwa kiongozi mwandamizi wa...
Mpox ni nini na hueneaje?
Aina mpya ya virusi vya mpox inaenea kwa haraka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na wataalamu wanasema ni aina hatari zaidi waliyoishuhudia.
Mpox, ambayo zamani iliitwa monkey pox, imeenea katika sehemu za magharibi na kati mwa Afrika na kesi zimekuwa...
Homa ya Nyani: Kwa nini Mpox inaenea kwa kasi Afrika Mashariki na Kati?
Maelezo ya picha,Homa ya Nyani ilianza kwa wanyama kwenda kwa binadamu huko Afrika ya Kati na Magharibi, sasa inaenea kupitia wanadamu.Maelezo kuhusu taarifa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imekumbwa na ongezeko la...
Homa ya Nyani: Watoto waathiriwa zaidi na mlipuko wa mpox
Maelezo ya picha,Watoto wote wa Nzigire Kanigo wameambukizwa mpox, akiwemo Ansima wa miaka miwiliMaelezo kuhusu taarifa
Baada ya Homa ya Nyani ama mpox kutangazwa kuwa dharura ya afya ya umma na Shirika la Afya Duniani kutokana na...
Maelezo ya picha,Utafiti umebaini ulaji wa tambi na wali kwa wingi husababisha ukomo wa hedhi mapema
Vyakula vyenye wanga kwa wingi husababisha wanawake kukoma hedhi mapema, utafiti umeeleza.
Ulaji wa tambi na wali kwa wingi kwa wanawake nchini Uingereza kunasababisha kuwahi kukoma kwa hedhi...
Vyakula visivyo vya wanga vinaweza kukupunguzia maisha kwa miaka minne
Maelezo ya picha,Vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga vina mafuta na protini nyingi
Lishe yenye kiwango kidogo cha wanga inauwezo kupunguza kiwango cha maisha ya binadamu ya kuishi, Utafiti umebaini hilo.
Lishe yenye...
Fenesi: Ulijua kuwa tunda hili linaweza kutibu aina tatu ya saratani na maradhi ya moyo?
Fenesi au kwa jina la kisayansi (Artocarpus heterophyllus) ni tunda la kitropiki ambalo hukua Asia, Afrika na Amerika Kusini na linajulikana kuwa tunda kubwa zaidi linaloweza kuliwa ulimwenguni.
Mbegu na...
Chanzo cha picha,Reuters
Ingawa "Z" inaweza kuwa ishara ya Urusi ya uvamizi wake, pembetatu inawakilisha jaribio la ujasiri zaidi la Ukraine la kuiondoa.
Zimepachikwa au kupakwa rangi kando ya kila lori la usambazaji, tanki, au magari ya kubeba wanajeshi ambao wanaelekea mpaka wa Urusi katika...
Maelezo ya picha,Baadhi ya watu walipotea katika mfululizo wa matukio ya utekaji nchini Tanzania
Maelezo kuhusu taarifa
Author,Sammy Awami
Nafasi,BBC Swahili
Akiripoti kutokaTanzania
Saa 3 zilizopita
“Alinipigia kuniuliza mchana nimepika nini, nikamwambia nimepika ugali. Akasema atakuja muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.