Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa.
Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
Mwanangu ameniletea hiyo habari yeye anafanya kazi katika Meli za dubai zinapita hapo hapo bahari ya Yemeni Mungu amnusuru Mwanangu na hayo mabalaa amin yarabi. Mwanangu amenitumia katika What's App sasa hivi nina chat nae.
KILIMO CHA NYOKA
Achana na Matikiti, Kuku, Vitunguu, au Mayai ya Kwale.
Hili sasa ndio Suluhisho.
Kilimo cha Nyoka
Fikiria uwe na Cobra 10.
Cobra mmoja anataga mayai 60 Kwa mwezi anatotoa.
60 mara kumi ni 600.
600 x 12= 7200
Kwa hiyo kwa mwaka unakua na Cobra 7200
Cobra mmoja anatoa...
Maudhui ya mwaka huu kusherehekea utandawazi,kuhusishwa kwa albino kwenye mipango ,kulinda haki zao.
International Albinism Awareness Day is observed on 13 June every year to raise awareness about albinism, a rare, genetically inherited condition that causes a lack of pigmentation in the...
DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU.
1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA
Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha tukaenda tukaruka kama ndege. Ikiwa story hizi anazieleza mara kwa mara usidharau ukasema ndoto tu...
Masheikh nchini wameitaka Serikali kuacha kuingilia masuala ya dini nchini na kuitaka iheshimu ili utulivu uendelee kudumu nchini.
Wametolea mifano masuala mbalimbali mfano utolewaji wa elimu ya dini mashuleni kwa kuanzisha mitaala mipya itakayosomesha dini mashuleni.
Sheikh Pomba amesema kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.