CHANZO CHA PICHA,EPA
Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani.
Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa vinasindikwa sana.
Utafiti uliofanywa kwa watu 105,000 umeonyesha kuwa vyakula hivyo huliwa zaidi, hivyo...