"Hivi ni kwanini bando zina expire? Simu ni ya kwangu, nimenunua bando kwa fedha yangu halafu unanilazimisha nitumie kwa muda unaotaka wewe, hii ni kwanini Mh Spika? Kama ni sheria, basi iletwe sheria hapa ibadilishwe, kwasababu tunaibia wananchi.
"Anatafuta fedha kwa jasho, ananunua simu...