amefariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Kuna Basi la Mwendokasi lilikuwa linapita njia ambayo sio yake, limegonga mtu kwenye Zebra, amefariki Kimara

    Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
  2. Waufukweni

    TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  3. Determinantor

    TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95

    Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana Hili hapa tangazo la Tanzia = Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
  4. The Masterpiece

    Jamaa aliyeniibia kuku mwaka jana leo amefariki, mtaa unahisi nimemroga

    Wakuu habari zenu, Mwaka jana mwezi March kuna jamaa mtaani hapa aliniibia kuku mchana kweupe kabisa watu wanaona, nilipopata taarifa nikamtafuta mtaani nikamkosa, nikaamua kwenda nyumbani kwako nikamkuta dada zake nikawaeleza jamani fulani kaniibia kuku wangu naomba akija mwambieni arudishe...
  5. GRAMAA

    Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake. Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
  6. Waufukweni

    Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

    Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  7. TRA Tanzania

    TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  8. Magical power

    Kijana anayechunga mifugo akutwa amefariki na majeraha usoni.

    Mchungaji akutwa amefariki na majeraha usoni. Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili wake ukiwa na majeraha usoni. Baba mdogo wa marehemu, Baraka Kamele, amesema Aron alikuwa...
  9. Mkalukungone mwamba

    Morogoro: Mchungaji wa mifugo akutwa amefariki huku uso wake ukiwa na majeraha

    Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili wake ukiwa na majeraha usoni. Baba mdogo wa marehemu, Baraka Kamele, amesema Aron alikuwa akijihusisha na uchungaji wa mbuzi, ambapo Novemba 16...
  10. The Watchman

    Arusha: Akutwa amefariki nyumbani kwake baada ya kutoka msibani huku mwili wake ukitokwa damu

    Silasi Ndosi (38) mkazi wa Shangarai wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha amekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya mikwaruzo sehemu za kifuani na mgongoni. Mbali na mikwaruzo pia mwili huo ulikutwa ukitoka damu puani, masikio, na mdomoni. Akizungumza leo Novemba 14, 2024...
  11. Mkalukungone mwamba

    Bukoba: Mtoto mchanga akutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake vikiwa vimenyofolewa. Bibi wa kambo akihusishwa

    Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu. Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji! =============== Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake...
  12. Superbug

    Malyawere wa morogoro amefariki kwa ajali yeye na mkewe.

    Mzee maarufu morogoro kwa kutengeneza saa na mganga wa tiba asili malyawere almaarufu mtundula amefariki kwa ajali msamvu tanesco morogoro yeye na mkewe leo. Mungu amlaze pema mwamba yule.
  13. Stuxnet

    TANZIA Mtayarishaji nguli na mtunzi wa muziki Quincy Jones afariki dunia

    Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake. Quincy Jones alikuwa mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi, na mpiga ala, anayejulikana kwa kazi zake na wasanii kama Michael Jackson na...
  14. Waufukweni

    Mwanamke akutwa amefariki Gesti Sinza Mori akiwa na Majeraha ya vitu vyenye ncha kali

    Katika tukio la kushtua, mwanamke mmoja anayeitwa Aisha Athuman, ambaye alikuwa muhudumu katika nyumba ya kulala wageni ya Sesa, iliyoko Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, amepatikana akiwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kuchomwa na kisu. Mwenyekiti wa Sinza, Ally Mgaya...
  15. Mshana Jr

    TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  16. Dalton elijah

    Mwili Wa Kanali wa Guinea Wapatikana akiwa amefariki

    Mwili wa Kanali wa Guinea ambaye alitoweka karibu mwaka mmoja uliopita uliwasilishwa jana kwa mkewe katika mji mkuu wa Conakry, mmoja wa Wanasheria wao alisema. Kanali Celestin Bilivogui ni afisa wa pili wa Kijeshi katika miezi ya hivi karibuni kutangazwa kufariki katika Mazingira ya...
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    TANZIA Kaka yake na marehemu Michael Jackson aitwaye Tito Jackson amefariki duniani

    Mwanamuziki Mkongwe wa kundi la Jackson 5 Tito Jackson (70) ambaye ni Kaka wa Marehemu Michael Jackson, amefariki dunia. Siku chache kabla ya kifo chake, aliposti ujumbe akiwa nchini Ujerumani ambapo kundi lao lilitembelea eneo la kumbukumbu ya ndugu yao Michael. Jackson 5 lilianzishwa mwaka...
  18. Gemini AI

    Kipindupindu charejea tena Nchini Malawi, Watu 22 wameambukizwa, mmoja amefariki

    Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi. George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya, amesema "Matarajio yetu tungepumua kwa muda mrefu zaidi, haswa ikizingatiwa mwaka 2022...
  19. Ritz

    Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  20. Superbug

    TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
Back
Top Bottom