amefariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ESCORT 1

    Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

    Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85. Ameacha watoto watatu...
  2. Webabu

    Mara ngapi umekutana na mtu uliyedhani amefariki kitambo? Na nini ulifanya?

    Sizungumzii misukule kama ile ya mikoa ya kanda ya ziwa ambapo watu huzika mtu halafu akaokotwa baada ya muda miji ya mbali. Nazungumzia vile hujamuona mtu fulani au mzee wa eneo bila kuuliza au bila kupata habari zake kiuhakika baadae ukamuona siku ya siku kwenye mishughuliko yake. Vile vile...
  3. Mohamed Said

    TANZIA Chaki (Jaffar Kasmali) mchezaji wa Cosmopolitan na timu ya taifa amefariki leo New York

    CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
  4. benzemah

    TANZIA DJ Steve B afariki dunia

    Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa muda mrefu...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Zitto amekuwa kimya? Haikupaswa iwe hivi

    Najiuliza sana huyu kijana alikuwa machachari sana kipindi cha JPM. Alikuwa hapitwi na jambo nliwahi kuamini kuwa siku za usoni atakuwa na mchango mkubwa sana. Toka miaka ile anakuzwa na Chadema. Kipindi cha Kikwete na Kikwete akimtumia vizuri pia katika hoja mbalimbali ambazo zilikuwa...
  6. Econometrician

    TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

    Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi. Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo. Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka...
  7. JanguKamaJangu

    Mpelelezi wa kesi ya Thabo Bester “Mbakaji wa Facebook" akutwa amefariki

    Jeshi la Polisi la Afrika Kusini limethibitisha kutokea kifo cha mpelelezi huyo mkongwe anayefuatilia kesi ya Thabo Bester anayetuhumiwa kwa mauaji na ubakaji akijulikana kwa jina la “Mbakaji wa #Facebook" Muda mfupi kabla ya kufikwa n amauti, Brigedia Jackson Mkhaulesi (59) alihudhuria...
  8. Chachu Ombara

    TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  9. BARD AI

    Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

    Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu...
  10. R

    Aliyekutwa amefariki Marekani mwaka 2020 abainika alikuwa Mtanzania

    Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita. Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo ulikuwa wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa ni Mtanzania aliyekuwa masomoni nchini Marekani...
  11. LICHADI

    TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
  12. O

    Polisi yaeleza mazingira mwalimu aliyetoweka Simiyu na kukutwa amefariki Musoma

    Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mwalimu Monica Patrick (31) mkazi wa Simiyu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha baadaye mwili wake kupatikana kwenye kichaka kilichopo pembezoni mwa Ziwa Victoria mjini Musoma. Pia soma - Mwalimu...
  13. mwanamwana

    TANZIA Christian Atsu apatikana ndani ya kifusi Uturuki akiwa amefariki dunia

    Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia soma - Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki ==== Nana Sechere...
  14. Mohamed Said

    Omari Mwariko Amefariki Dunia

    TAAZIA: OMARI MWARIKO AMEFARIKI Nimepokea taarifa ya Omari Mwariko. Si wengi watakuwa wanamfahamu katika miaka hii lakini Mwariko alikuwa bingwa wa kuchonga vinyago na katika uhai wake katika tasnia hii ya usanii aliitangaza Tanzania Ulaya, Marekani na kwengine kwingi kwa kazi zake. Picha hii...
  15. BARD AI

    Katambi ataka vijana wakubali kujitolea wakati wakitafuta kuajiriwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amewataka vijana kujenga tabia ya kujitolea katika masuala ya kijamii kwa lengo la kusaidia wengine badala ya kusubiri kuajiriwa. Amesema kilio cha ukosefu wa ajira kwa vijana kitaondoka endapo kundi...
  16. Teknocrat

    TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

    Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
  17. Equation x

    Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

    Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu. Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina). Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu...
  18. Kiranga

    Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
  19. Sky Eclat

    Mama mwenye umri mkubwa zaidi duniani amefariki akiwaacha mapacha wake wa miaka 3 wakiwa yatima

    Maria alifanya utaratibu wa kupandikiza mbegu ili apate watoto (IVF) akiwa na umri wa miaka 67. Aliingia kwenye kitabu cha Guineas Book of Records kwa kuwa mama aliyepata watoto akiwa na umri mkubwa zaidi. Maria alipunguza umri wake kwa miaka 12 wakati akipata matibabu yake. Madaktari...
  20. JanguKamaJangu

    TANZIA Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki Dunia leo Agosti 21, 2022

    Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, William Kusila (78) amefariki dunia leo Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam. Chanzo: Tanzania Editors Forum (TEF)
Back
Top Bottom