Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.
Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Jimbo la Embakasi Mashariki, Daniel Mbolu Musyoka, ambaye alitoweka akiwa katika eneo lake la kazi Agosti 9, umeokotwa Kajiado
Maafisa wa Polisi wa eneo hilo, wamesema walitahadharishwa kuhusu kuwepo kwa mwili wa...
Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili.
Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa...
Wanaukumbi.
Inna lillahi waina ilayhi rajiuun
Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania)...
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko Tabata huzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi, hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Buhalahala iliyopo halmashauri ya mji wa Geita, Johnson Thomas amekutwa amefariki pembeni ya mto siku sita baada ya kupotea, huku mwili wake ukiwa umetobolewa jicho na kusagwa unyayo.
Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua...
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.
Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa...
Soon after assassination of president John F Kennedy those days,main stream media zilimuapproach Alhaj Malik Elshabaz a.k.a Malcom X,na kumuuliza kuwa,je nin views zako kutokana na kifo hiki?
Alhaj Malik Elshabaz akawajibu very shortly kuwa his death is like now 'Chicken are coming home to...
Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa
Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa
Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni;
Player...
Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead.
The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta.
“It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House.
“I order...
Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.
Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe.
Apumzike salama
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba.
jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro...
SIDNEY POITIER AMEFARIKI DUNIA LEO AKIWA NA MIAKA 94
Mwanangu yuko mbali na mimi wakati anakua hapa Dar es Salaam mara nyingi nikimuhadithia movies tulizokuwa tukizipenda wakati sisi wadogo na pia wale waigizaji maarufu nyakati zetu.
Tukipita mjini nikawa namuonyesha majumba ya senema...
Wana JF,
Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.
Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa...
Mama Mzazi wa Luludiva amefariki.
Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021.
Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na amekuwa akimuuguza kwa miaka mingi.
Mwili wa mama Mzazi wa Lulu diva kuagwa juma pili tarehe...
FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na...
Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini.
Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta ..huyu Mzee alikuwa mtata sana
PROFILE YA WAKILI MSOMI KIBUTA
DR. KIBUTA
Chairman
Dr. Kibuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.