amefariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Muigizaji Michael K Williams akutwa amefariki nyumbani kwake Brooklyn

    Muigizaji wa "The Wire" Michael K Williams amekutwa amefariki akiwa na umri wa miaka 54 nyumbani kwake brooklyn, vyanzo vya polisi vimeliambia shirika la habari la PA. Williams, anayejulikana zaidi kwa kucheza kama Omar Little kwenye tamthilia ya kihalifu ya "The Night Of" ya HBO...
  2. Baraka Mina

    TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho. Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
  3. Kurunzi

    TANZIA Fredy Sam, mmiliki wa Rose Garden Dodoma afariki Dunia

    Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam. Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure...
  4. Mtoto wa Nyerere

    #COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana. Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo...
  5. KITAULO

    Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
  6. Analogia Malenga

    TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko Freeman Mbowe ametuhumiwa...
  7. R

    TANZIA Mwandishi wa vitabu vya kiswahili na kiingereza Greyson Mhilu amefariki dunia

    Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO. Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo LILIAN KIBO na MBEZI BEACH za DAR es SALAAM. Ameshiriki kuandika vitabu vingi na kuedit vingine...
  8. Bushmamy

    TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

    Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni. Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia. Marehemu...
  9. Suley2019

    TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  10. Q

    TANZIA Fr. Privatus Karugendo amefariki dunia

    Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu. #RIPFrKarugendo Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii. 14/6/2021 “Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi kutafakari wala kuhoji! Twaweza kuamua kuishi kama maiti au viumbe hai wenye uwezo wa kuutiisha...
  11. T

    Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Mwalimu ambaye aliwahi kudhulumiwa fedha zake za uhamisho na akajibiwa vibaya na mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia juzi na amezikwa leo mkoani Arusha. Mwalimu huyo alinyimwa fedha za uhamisho na alipofika kwa mkurugenzi alijibiwa vibaya na kupoteza fahamu kisha kupelekwa hospitali kwa...
  12. Analogia Malenga

    Kiongozi Boko Haram, Abubakar Shekau afariki dunia. Wanamgambo wa kundi hasimu wasema

    Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria Abubakar Shekau, amejiua mwenyewe , wanamgambo wa kundi hasimu wamesema katika sauti iliyorekodiwa. Katika rekodi ya sauti iliyopatikana na mashirika ya habari, kundi la Islamic State katika mkoa wa Afrika Magharibi (Iswap) lilisema...
  13. Miss Zomboko

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki leo akiwa Muhimbili

    Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo. Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61. Ismail atakumbukwa...
  14. Chukwu emeka

    Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

    Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
  15. balimar

    TANZIA Mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba, Adam Msangi afariki dunia ajalini

    Habarini Wadau Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza. Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba amefariki kwa ajali hiyo ya gari majira ya alfajili ya kuamka leo. Inauumiza sana kwani Mratibu huyu...
  16. Sky Eclat

    Mke wa Kirk Douglas, Anne Douglas amefariki dunia; huyu ni mama wa kambo wa Michael Douglas.

    Michael Douglas kwa uchungu amesema isingekua Anne Kirk asingepata mafanikio aliyoyapata maishani mwake.
  17. U

    Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  18. Kifurukutu

    Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  19. U

    TANZIA Sheikh wa Mkoa wa Singida, Salum Mahami afariki dunia

    Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021 Tunatoa pole kwa wafiwa wote Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe Taarifa kwa mujibu wa Mufti Sheikh Aboubakar Zuberi Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Akutwa amejinyonga baada ya dili lake kutiki

    Mwili wa mtu mmoja mwenye umri unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 35-40 umekutwa ukiwa unaning'nia juu ya mti, akiwa amefariki kwa kujinyonga. Kijana huyo mtanashati alitambuliwa na majirani kuwa amejinyonga mapema Leo alfajiri na alikutwa mfukoni na karatasi iliyokuwa na ujumbe uliondikwa kwa...
Back
Top Bottom