Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ?
Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM...