App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti
Unaweza kufanya yafuatayo
Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF)
Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers)
Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf...
They are doing it again!
WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android.
Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
Habari ya mchana,
Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya
Mobile Application
Desktop Application
Website
Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako...
Refer to the heading wakuu
Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.
Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo.
Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
Kampuni ya microsoft ambayo inatengeneza mifumo windows imeamua kuboresha mfumo mpya windows 11.
Windows 11 iliachiwa tarehe 24 june 2021.
Mabadiliko haya inaonyesha kuwa imekubali kuendana na kasi ambayo jirani yake google kujikita sana uboreshaji wa watengeneza programu za android.
Sasa...
Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
Natumai wote mko powa.
Hakuna kitu nilikua nasubiri kwa hamu kama maboresho ya toleo la android 9 lililo kwenye simu yangu ya vivo Y11(1906).
Hii simu niliipenda na kila kasoro za kwenye masimu mengine huku solution ipo. Simu ambayo imevunja rekodi ya simu zangu zote nilizowahi kutumia kwa...
Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google.
Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
Niaje wananzengo?
Direct to the point.
Kwa wale waumini wa apps ambazo zinahitajika kufanya manunuzi ili upate baadhi ya huduma, karibuni sana hapa.
Utapakua apps unazozitaka na hata games vilevile (wewe mwenyewe) zikiwa tayari na full money ama coins ndani yake so wewe ni kufanya purchasing...
Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android,
Je inawezekana??
Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu..
Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nawasilisha.
Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ
RAM 8 GB.
Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display kupitia kwenye PC. Mirroring Casting kama sikosei. Sasa inagoma imetokea baada ya ku update Windows...
Gwala kwa wana "Jf" wote, matumaini yangu majukumu yetu binafsi yanasonga ipasavyo.
Niende kwenye moja kwa moja kwenye mada husika, hivi karibuni nimeingia kwenye sekta ya android application design. Katika kuanza anza nimeanza kwa kujifunza p-l ya Java kama backbone ya programming kwa apps...
Nilipata update ya Android 11 kwenye note 20 ultra yangu wiki 2 zilizopita, juzi jumamosi nikaamua niipakue na kui-install. Kwa siku 2 hizi nimekua nikijaribu kutafta ama nione kitu cha tofauti kati ya Android 10 na Android 11, yaani One UI 2.5 na One UI 3.0 sioni tofauti yoyote ya maana...
Wiki kadhaa zilizopita Huawei alitoa developer version ya Harmony OS, lakini kutokana na wakali wa Mambo na comparison ya side to side Ile ni Android 10 ambayo imekuwa edited.
Nimeona video wakicompare side by side inafanana kila kitu na android 10. Hata app development studio iko exactly Kama...
Mnamo tarehe 4 August 2020, Google walizindua feature yao ya kushare mafile kati ya Android phones iitwayo Nearby Share ambayo ni kama Xender app na Airdrop ya iPhones. Nearby Share inafanana ufanyaji kazi wake kama airdrop ya kwenye iPhones kwamba unapata menu ya kushare kutumia njia directly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.