KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU
Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen.
KUPERUZI SIMU KWA GESTURE
Gesture imerahisisha sana kutumia simu,
ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima.
Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa 😁!!
1) Change Device name
💭 Android tv yako imekuja ikiwa na jina lake pamoja na model number sio lazima likae ilo jina...
Hello bosses and roses....
"Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza kufikia ulichokificha. Nikiwa nafanya security audit yoyote ile nikagundua developer ametumia sana 'secrecy' kwenye...
Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore)
Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata...
Habari wakuu.
Nadhani hili suala nilipaswa kuliweka Kule jukwaa la Tech & Gadgets ila mara zote nikiweka threads Kule napata mwitikio mdogo sana. Kuna kitu nafanya na kinahitaji kunakili QR Code kutoka app Moja na kuiweka (paste) kwenye app nyingine ili hizi app mbili ziweze kusomana. Tatizo...
Kwa anaehitaji huduma ya kutengenezewa website na softwares nyinginezo sikiwemo za kuratibu shughuli zote za biashara yako nk. Karibu tuzungumze kazi inafanyika katika viwango vya juu sana kwa gharama nafuu sanaa karibu
0783385667
Habari
Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS
Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software
Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa.
Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za Android ufanya wakati wanatumia upelekea simu zao kukosa ufanisi pamoja utendaji wake wa kazi kupotea.👇...
Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22.
Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho.
Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha...
Wakuu na wataalaamu wa phone security,
Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack?
Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI NUMBER inapokuwa changed, habari kwishney, polisi wanakuwa hawana msaada wowote tena.
Je, kuna...
Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona...
Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili.
Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3.
Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions...
Here is a list of ADB commands that you can use through CMD or ADB Shell on local device: ADB Basics adb devices (lists connected devices) adb root (restarts adbd with root permissions) adb start-server (starts the adb server) adb kill-server (kills the adb server) adb reboot (reboots the...
Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.