Habari wanajamvi,
Kuna wadau nimekutana nao hapa Ionic Woocommerce - Themes-Coder
Wanafanya kazi nzuri sana. Sasa kuna mteja alitaka kusubmit app yake, na hana ios/playstore credentials. Sasa kama unaweza kusaidia katika hili, tuonane inbobo.
Asanteni, na jumapili njema
Swali langu ni hili wakuu:
Naweza kuweka Android mpya version iliyotoka kwenye simu ya Android 7.0 mfano tecno wx4 na kadhalika?
Na je, system ya simu yako ikiwa inataka ufanye update update inakuja ikiwa features gani? Interface, UI?
MAANA YA ku-ROOT
ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo.
Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Wale watumiaji wa Android OS, leo nimefanikiwa kuupdate kwenda Android 10 kutoka Android 9 (pie).
Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates.
Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa.
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku.
Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu:
1. Graphics design
a. Logo Design
b. Brochure Design
c. Banner Design
d. Flyer Design
e. Products Brand Design
f. Software Layout Design
2. Software Development
a. Website Design and Development
b. Blog Design...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.