Habari wana jamii!
Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila mmoja ana 1M, na kila mmoja nitampa share ya 40% na 20% nachukua mimi kama mbeba maono.
Kama upo...
ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA
nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi
App iko...
Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu.
Kwanini hatuna apps store yetu?
Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile.
Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi?
Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi.
Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo ningependa tujuzane.
Lengo langu ni niweze kutuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
App ya Piman tv max inapatikana Playstore kwa kusearch neno Piman tv, Lakini App hii Haijazinduliwa hivyo tumei publish playstore kwenye kipengele cha Development.
Karibu kwa Ushauri wako wewe mdau wa Technology
Habari za leo wandugu!
napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu.
kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba nina idea ya kutengeneza mobile app ambayo itakuwa ni music streaming kama ilivyo spotify ama youtube music n.k.
Kama tunavyojua kwamba app kama spotify haisupport nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania labda mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.