Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP.
Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app inapatikana katika post no 16.
Vitabu vilivyopo mpaka sasa.
1. Hekaya za Abunuwasi na hadithi...
What's app status ni kipengele moja wapo katika whats app kinacho ruhusu kupost maudhui mbali mbali na contact zako Ku view ; Je ni kitu gani cha kushangaza au kukuumiza ,kukufurahisha,kukujenga !;
Uliona katika status za contact namba ulizo Nazo kwenye simu yako,
Kutokana na mishe zangu...
Habari wadau wa Jf
Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu
Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini
Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya...
Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card.
Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi.
Nilianza kutoa laki moja na...
Kwa wasoma vitabu, kutokana na sababu mbalimbali, wengi tunatumia zaidi softcopies badala ya hardcopies. Formats za vitabu zilizotawala ni pdf, ePub na Mobi. Mimi binafsi napendelea ePub au mobi kuliko pdf sababu ya fonts za pdf ni ndogo ndogo sana.
Hivyo kwenye kusoma, App unayotumia inaweza...
Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara.
Inauzwa 20,000/= tu.
Anicheck WhatsApp 0764181161
Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna Inavyofanya Kazi.
Habari wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja.
Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
Habari wadau
Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory settings,lakini bado ukidownload mwendo ni uleule.
Sasa hii app imekuwa haina raha tena mwenye kufahamu...
Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
Kama mmoja wawatumiaji wa Mobile Trading iliyoanzishwa na Dar es salaam Stock Exchange siku za husoni napenda kuzungumzia yafuatayo kwa kuwasadia watumiaji wa sasa na wajao pamoja na kuwajibishwa na wanaosimamia hiyo DSE mobile Application.
1. Kwa uwelewa wangu mdogo , Mobile App yoyote kabla...
Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa.
https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
Wakuu kuna app ya kufanya manunuzi ambayo mtu ata deposit pesa alafu anaifanyia manunuzi kama ilivyo app za sport betting mtu anaoder bidhaa na pesa inakatwa pale kwenye wallet yake ?
Mwenye anajua uwezekano wake na budget yake ipoje MSAADA TAFADHARI
Habari wazawa !
Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.