Habari wadau mdogo wenu bado napigika na mambo ya coding mdogo mdogo hope tutafika tu niliwahi kuwaeleza ndugu na wadau humu ili uweze kujua coding haraka ni lazima ujua kusoma code za watu na kuzielewa huwezi kufanya kila kitu alone itakugharimu mda sasa katika pita pita zangu huku nikagundua...
Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App.
Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani...
Experienced app developers needed, you must be able to create a complex system yet maintainable that will involve some complex programming.
High priority will be given to those who employ the use of block chain tech in programming.
DM with your experience and CV Deadline for application 15...
Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
'Smart Voting App' ya Kiongozi wa Upinzani Nchini humo, Alexei Navalny imeondolewa Google na Apple Store katika siku ambayo Wananchi wanaanza kupiga kura kwenye Uchanguzi wa Bunge.
Mamlaka zilitishia kuzitoza faini Kampuni hizo ikiwa zitakataa kuiondoa. Uchaguzi utafanyika kwa siku tatu kuanzia...
Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote ambayo inatakiwa kusubiriwa.
niko na apps mbili tu google drive na whatsapp tu na zinapiga kazi...
Habari wana JF, msaada tafadhali kwa yoyote anafahamu App ambayo inaweza fanya live speech translation mfano kama kiongozi anazungumza yenyewe inakua inaonesha maneno yanayosemwa kama Subtitle.Nitangulize Shukrani.
Habari wakuu kwema?
Nataka nijue kama kuna app ambayo naweza nkapaste stori au makala fulani ya Kiingereza halafu initafsrie nataka nitafute ujuzi tofaut tofauti tatzo lugha nayo inakua ngumu naomben msaada kwa anaeijua hyo app
#yesbishoohaswaaaa
Habari za leo wanafamilia.
Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps.
Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu.
Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania.
Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k.
Waliwezajekuingiza pesa hizo?
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends
Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.