Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30%
Huu mfumo siyo...
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university.
Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass.
Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA.
Ajabu ni kwamba baada ya...
Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna utofaut before na afta installing,,
Habari Wakuu
Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol).
Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata ambayo ina free trial ili nijaribu kabla ya kulipia.
Nitashukuru kwa muongozo.
Habari wakuu!
Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Click Up company limited tumeleta mfumo maalaumu kwa ajili ya kumanage na kutunza kumbukumbu za shule yako. mfumo huu unakuja na biometric device maalumu kwaajili ya kufuatilia attendance ya walimu shuleni.
Gharama ya mfumo pamoja na biometric device kwaajili ya attendance ni 700,000 TZS...
Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321
India inaamini Taaarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa China kupitia Apps, kisha kutumika kwa...
Wadau wa Tech kwemaa!!
Nauliza je kuna technique ya kurejesha messages za mtandao wa kijamii wa what's app tofauti na ule tuliozoea unapo install what's app ipya ktk simu yako.
Anaye fahamu hizo tech pls share, simu yangu imeshindwa ku restore baadhi ya contacts ambazo siku save ila mamba...
kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu nilizo analyse hakuna iliyoenda nje na prediction result, Nimeamua nitengeneze application kabisa lakini...
Wasalaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika upande wa sms, wa kutuma 'flash message' ambayo moja ya sifa yake ni pamoja na kupotea ukishamaliza...
WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows.
Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya...
December mwaka huu, Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram” ambayo ilianzishwa tangu Mwaka 2019 ili kushindana na Snapchat.
Instagram imesema mwisho wa mwaka huu itafuta app ya Threads katika App Store na Google Play Store; na itakuwa haipatikani kwa watumiaji wote ambao bado...
Habari wadau nadhani bado wengi hamjanielewa apo naomba nielezee kwa utulivu ili nipate msaada maana nimegoogle nimeshindwa.
Ipo hivi imagine kuna watu wengi wanafanya application sehemu kwa mfano humo kuna
Wenye wazazi
YATIMA
WALIOOA AU WALIOOLEWA NK
Sasa nataka nidesign WINDOW...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.