app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Business Partner are needed

    Habari wana jamii! Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila mmoja ana 1M, na kila mmoja nitampa share ya 40% na 20% nachukua mimi kama mbeba maono. Kama upo...
  2. K

    App developer wa Tanzania kuweni serious basi

    ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
  3. Kwanini tanzania hatuna apps store yetu?

    Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu. Kwanini hatuna apps store yetu?
  4. Ukitengeneza Mobile App halafu watu wawe wananunua vitu humo ndani, unatumia njia gani hapa Tanzania?

    Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile. Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi? Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
  5. Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

    Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
  6. Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (I.E zaidi ya 200) kwenye SMS App yangu

    Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo ningependa tujuzane. Lengo langu ni niweze kutuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  7. Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

    Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  8. Kama wewe ni Mwana Technologia una Maoni gani kuhusu Piman Tv App

    App ya Piman tv max inapatikana Playstore kwa kusearch neno Piman tv, Lakini App hii Haijazinduliwa hivyo tumei publish playstore kwenye kipengele cha Development. Karibu kwa Ushauri wako wewe mdau wa Technology
  9. Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

    Habari za leo wandugu! napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu. kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu...
  10. Nina App idea naombeni ushauri

    Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba nina idea ya kutengeneza mobile app ambayo itakuwa ni music streaming kama ilivyo spotify ama youtube music n.k. Kama tunavyojua kwamba app kama spotify haisupport nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania labda mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…