Aisee
Sasa naelewa kwanini wengi baada ya kutumia Hii App wanaikimbia..Jana nimejipinda kuandika UZi Mreefuu. Usio na Tatizo lolote ila anatokea Mod mmoja anafuta bila sababu za msingi?? Kama haturuhusiwi kutambulisha App humu muweke wazi
Tuachane na hayo
Miezi kadhaa...
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
Mimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.
Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao...
Kampuni ya meta app zao zipo chini siku ya Leo sijui nadhani kila mtu ame experience hiki kitu leo.
---
Kampuni Mama ya META inayosimamia mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imekiri uwepo wa hitilafu iliyopolekea idadi kubwa ya Watumiaji wa mitandao hiyo katika sehemu mbalimbali...
Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza.
Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
Hello bosses...
Napenda kuwakaribisha kwenye App ya Afya Mingle Afya Mingle - Apps on Google Play ambamo utaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu.
Madaktari wetu ni Professional Medical doctors wenye leseni. Tunazidi kuwasiliana na madaktari bingwa wengine ili uweze kuwapata ndani ya...
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie subtitles huwa sinachelewa au inakuwa mbele yofauti na tukio husika,nimejaribu kucheki namna ya kuadjust...
Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli.
Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi.
Njia za kuziondoa hizi app ni simple tu, kama una nyumba hujamalizia basi watahusika kumalizia, kama huna boda boda basi...
Salam wanaukumbi
Nimejaribu kuperuzi playstore kupata biblia ya kiswahili yenye vile vitabu vya ziada (Tobiti, Wimbo ulio bora, Baruku, Hekima ya Suleiman, Judith, etc)
Mwenye kujua jina tafadhali
Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana.
Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
Habari za muda huu wakuu,
Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi)
Kwa muda wa miezi miwili sasa...
Habari wakuu!!Wanasema kizuri kula na wenzio!!
Kama wewe ni mpenz wa kustream online hizo app mbili hutakiwi kukosa kwenye list zako
Onstream hii ni kwaajili ya kustream movie na series ni app moja nzuri sana na unaweza tumia kwa android or smart box yeyote ya kusupport android..Binafsi nilikua...
Kwema wakuu
KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi.
1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications.
2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana zipo bidhaa nazozitaka ila siwezi kulipa keshi.
Je kuna wadau humu ambao mmefanikiwa kununua bidhaa...
Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’
2. Programu Endeshi - iOS...
Tangia mwaka jana mmekuwa mkituma meseji zikinialika kutembelea duka la Vodashop lililo jirani nami ili nijipatie simu janja. Baada ya mwaka mzima wa meseji hizo kuwa kero, niliamua leo kutembelea duka na kuchukua simu yenu ili muendelee kufaidika na biashara yenu ya unyonyaji. Simu mnayouza kwa...
Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi.
Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.