Wakuu kwema.
Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV.
Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc.
Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua.
Nawasilisha.
Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi
1. perfomance
2. Hosting cost
3. Maintenance
Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
Kuna hii app ya mikopo ya online, inayoitwa Swift Fund, hawa ni wezi kabisa.. Unakopa, wakati wa kulipa wanakutumia link, unalipa, na Deni lako linaendelea kuwepo, hakuna kinachobadilika!
Unamaliza deni, wa naendelea kukusumbua kila siku, na kila siku anakupigia mtu mpya, wanakuchafua kwa...
GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
Ah wapi! Sitoi salamu
Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao.
Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari pesa miksa finiloan naona zote zimefungiwa.
Kalaga Baho
Habari zenu wakuu,
Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi.
Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo naomba muongozo.
Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular
Nawakaribisha
Assalam Wana jukwaa, nauliza Kuna application ya simu inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti maeneo yanayonizunguka.
Kwa mfano tupo kwenye mazungumzo, mtu mmoja akawa anarecord sauti kwa kutumia simu, je naweza kuwa na application ya kugundua uwepo wa simu hiyo au kifaa hicho?
Shukran!!
Wakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa...
At our firm, we are dedicated to delivering top-tier mobile app and website design services that set you apart in the digital landscape. Our approach blends creativity with technology, ensuring that each project is visually stunning and functionally robust. We focus on user-centered design to...
Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali.
- Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb Messenger)
- Tick za kuonesha email imeenda lakini haijafunguliwa
- Na status zingine nyingi nzuri...
Kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Mwigulu na team nzima ya BOT hizi App zinaendeshwa kwa kanuni ipi au sheria ipi?
Wanatoa wapi kibali cha kukopesha na kutumia taarifa za watu hata wasiohusika na ambao hawajakubali kumdhamini mkopaji?
Soma pia: Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazionya Taasisi...
Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.