app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. App ambayo inaweza kunisaidia kubadilisha picha ya kawaida kuwa passport size yenye Blue color background

    Naomba kujuzwa Application inayoweza kuniwezeaha kubadili picha ya kawaida na kuwa passport size
  2. Ni App gani ya manunuzi mtandaoni, naweza kuagiza bidhaa kama vile Flash disk au T-Shirt , na zikawa Printed kwa Jina ninalotaka mimi?

    Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi. Naomba msaada.
  3. WhatsApp locked Chat

    Wadau hivi hii feature mpya katika WhatsApp inazuia namba iliyo katika locked chat isitazame status za mtumiaji aliye add iyo nmba katika locked chat?
  4. App ya malipo ya Serikali mtandaoni ina shida kubwa sana, rekebisheni haraka

    Siku kadhaa zilipita nikiwa na piga story ndugu mmoja alisema alikuwa na faini polisi kwa makosa ya barabarani. Siku aliyotaka kulipa faini akakuta faini ile imeshalipwa. Akashukuru sana. Hivi karibuni nimelipa faini kwa hii app na matokeo yamekuwa nimelipa bill ya mtu mwingine hivyo nimeingia...
  5. Kati ya app ya SportPesa, Sokabet na Mbet ipi ina watumiaji wengi?

    Oiii wadau wa majamvi enh nataka nianze kuweka majamvi ila makmpuni yamkuwa mengi sana sahv, Mnashauri nicheze na kampuni gani na kwanini?
  6. Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  7. K

    TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

    Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii...
  8. Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

    Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow Jinsi ya kupata Update hii mpya hakikisha simu yako inatumia tolea jipya la Whatsapp na kama...
  9. Wataalamu wa Mobile App development, mkuje mnisaidie mwenzenu

    Wakuu mimi ni beginner kwenye hizo mambo za app development, nilipanga kujifunza app development, ila nikapata ushauri nijifunze web development (Front end) kwanza, nina endelea nayo, kwa sasa namalizia CSS, ni ingie Javascript. Nika amua niweke sawa mazingira kabla ya kuanza ndo nikadownload...
  10. Utafiti wangu Kuhusu APP za Mikopo

    Ninawasalimu wote katika Jumapili hii Njema, na tulivu. Naomba nisipoteze mda na niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kuwa napata matangazo ya App za mikopo, nikaamua nifanye ka utafiti kadogo kuona zinavyofanya kazi. Kwa kipindi cha Miezi 2 nili download up 10, na nikakopa na kurudisha...
  11. U

    Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

    Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
  12. Nani anasimamia Yanga App? Tuanaibiwa

    Kwanza Kabisa mimi ni mshabiki wa Yanga, lakini kuna jambo moja linaweza kuonekana lipo vizuri lakini linakwaza. Nimeshalipia App ya Yanga Mara 3 lakin sipati access ya kusoma habari za yanga. Kwa maana ya kwamba ukilipia bado ukiingia kwenye app haitambui malipo yako na bado itakudai ulipie...
  13. Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

    Habari wana jukwa!!! Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen.. Je, Shida itakua nini hapo? Nimeamua kuyaandika haya maneno kwa sababu nimeshindwa kupiga screen shot, app yao imeblock kupiga screenshot...
  14. Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
  15. B

    Nielimisheni kuhusu hii App ya Boxreta

    Habari zenu wakuu Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine. Swali langu kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
  16. Naweka Youtube App kwenye simu za Huawei

    Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Huawei ambazo hazisupport Google Apps kama Youtube, Playstore, nk, Nimetengeneza solution ya tatizo hilo kwa kukupa app ya Youtube inayofanya kazi vizuri bila kuhitaji Google Play Services. Achana na ile Youtube Vanced. Hii ni custom Youtube App ambayo...
  17. Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

    Wakuu nimejaribu kuclone app ya Threads kutumia Flutter. Nimeweka repository kwenye github yangu 👇 🔗 GitHub - heisabdallah/threads_clone: A cloned threads app Ya kushoto ni cloned version. Ya kulia ni official version ya Threads
  18. App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  19. SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  20. Msaada wa App inayoweza kugenerate autocaption za kiingereza

    wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…