app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    META yazindua 'App' nyingine kwaajili ya kushindana na Twitter

    Mkurugenzi Mkuu wa META, Mark Zuckerberg amesema japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter lakini Mtandao huo uliopewa jina la 'Threads' unalenga kuhudumia zaidi ya Watu Bilioni 1. META imeeleza kuwa 'Threads' haitopatikana kwenye Nchi za Umoja wa Ulaya kwa sasa, itaruhusu Mtumiaji kuchapisha...
  2. D

    Kupata APP za Bure

    Wakuu habari za leo , naomba msaada wa namna au site za kudownload app za Bure za Computer. zile ambazo zipo cracked
  3. African Geek

    Nimetengeneza Web App kwa Flutter

    Nimetengeneza Web Application ya majaribio kwa kutumia Flutter na nimei deploy kwenye platform ya Vercel. Link hapa chini.. 👇 Bonyeza Link 👉 👉 🔗 FITNESS APP Ukiifungua itakuja pop up inayokupa option ya kuinstall kama app ambapo itatengeneza icon kwenye home screen yako na utaweza...
  4. Until_The_End

    Kwa Wote mnaoanza kujifunza Programming na Hauna Computer. Replit App itakufaa Ku-edit na Ku-Run baadhi ya Script.

    Habari wakuu: Niende moja kwa moja kwenye mada; Kwa kufahamu kuwa kuna watu wanatamani kujifunza Programming language bahati mbaya hawana kompyuta hivyo inapelekea kukata tamaa na kuishia njiani, leo beginner mwenzio nakupa tumaini inuka uendelee. Inawezekana ulikuwa hufahamu kuwa kuna...
  5. Zekoddo

    Mwanafunzi wa chuo, unatumia App gani katika kufanyia kazi zako za darasani

    Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments, Research na mambo mbalimbali... Maana kwa Sasa kumekuwa na App nyingi ambazo mwanafunzi anaweza kuingiza...
  6. Apollo

    Uber itaanza kuweka matangazo kwenye App yake

    Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo wakati wa kutafuta usafiri, kusubiri usafiri kufika na wakati wa safari. Matangazo (Ads) yatakuwa ni...
  7. KAGAMEE

    Naomba kujua App nzuri ya Mazoezi

    Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home. Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha. Yanga Bingwa CAFCCC
  8. Myahudi Jr II

    Ma IT wa Bongo tutengenezeeni hii APP (kupanga/ kupangisha/ kununua etc)

    Habari za muda huu... Leo nimewaza jinsi madalali wanavoharibu soko la vitu TZ ila ni sisi wenyewe ndio tunawaendekeza sana, nikiangalia vyuo vyetu UDSM, DIT, MUST etc etc wanazalisha ma IT kibao kila mwaka ila wote wanaishia kutengeneza website ambazo ndani ya mwaka zinakufa. Leo naomba...
  9. A

    Hili sharti kwenye APP ya CRDB Simbanking lina maana gani?

    Mimi ni mteja wa benki ya CRDB. Kadi yangu ya benki imekwisha muda wake; hivyo jana nilikwenda kweny Tawi lao kwa ajili ya kupata kadi mpya. Mhudumu wa benki aliniambia utaratibu wa kupata kadi mpya ni ku-apply kwa kutumia App ya CRDB. Nilifanikiwa ku-download App ila nilisita kukubali...
  10. monotheist

    Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
  11. Ngamba

    Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  12. Wakili wa shetani

    Bongo usitake kutengenezewa app, bora ununue template na wakufanyie customization.

    Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na...
  13. N

    Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
  14. Kuchwizzy

    Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

    Price yangu ni affordable na ya makubaliano. Nina Business Centric Approach, yenye lengo ya kuipush idea yako ifanikiwe kwenye market ikiwemo na ushauri wa bure jinsi gani inaweza fanikiwa. Technologies ninazotumia; 1. Laravel (version 6 up to 8) 2. Vuejs(Version 2 up to 3) 3. Database(Mysql)...
  15. Chief Kumbyambya

    Nawezaje kusreenshot kwenye app ambayo hairuhusu screenshots?

    Wazee habari za kutwaa...... Naomba nisaidiwe shida tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani. Ahsante.
  16. kali linux

    Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    CRDB kutokuonyesha kiwango cha makato kabla ya kufanya muamala kwa App au SIM Banking ni wizi na uhujumu uchumi

    CRDB kupitia app yao au njia ya code *150*03# hawaonyeshi kiwango cha pesa utakachokatwa mara ukikubali kufanya huo muamala. Huu ni wizi na uhujumu uchumi kwa watumiaji wa CRDB. Ili upate laki 1 kwenye simu unaweza kushituka wamekula elfu 5 na ukitoa kwa wakala let's say tigopesa wakikukata...
  18. Programu za PC

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  19. Apollo

    WhatsApp itaweka sehemu ya "ku-edit message"

    WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa. Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma analazimika kuifuta message na kuandika upya. WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya...
  20. E

    Msaada AZAM MAX APP. Nifanyeje kupata chaneli zinazoonesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho za CAF za Simba na Yanga?

    Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa. kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
Back
Top Bottom