Hata wewe mwenyewe hujaelewa ulichoandika.Nkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
Zile app za kuita tax na bajaji na boda mitandaoni zinaitwaje ? Sijaona idea ya app za namna hiyo kwenye kilimo nchini ambayo mwenye shamba angejisajili na kuonyesha GPS ya shamba lake na ukubwa wa shamba kisha kupata huduma ya kulimiwa kwa tractor kutokana na umbali na ukubwa wa shamba lake ...hii ingesaidia sana kwenye kilimo serikali ingetoa matrator kwa ajili ya hiyo app na watu binafsi wanye matrector wange ya sajili kufanya kilimoNkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
nenda Facebook mtafute jamaa mmoja anaitwa Geophrey Tenganamba ukimpa hayo mawazo atayafanyia kaziZile app za kuita tax na bajaji na boda mitandaoni zinaitwaje ? Sijaona idea ya app za mamna hiyo kwenye kilimo nchini ambayo mwenye shamba angejisajili na na kuonyesha GPS ya shamba lake na ukubwa wa shamba kisha kupata huduma ya kulimiwa kwa tractor kutokana na umbali na ukubwa wa shamba lake ...hii ingesaidia sana kwrnye kilimo serikali ingetoa matrator kwa ajili ya hiyo app na watu binafsi wanye matrector wangeyasajili kufanya kilimo
Hili lilitakiwa kuwa la serikali maana kilimo ni muhimu sana sema hii serikali pumbavu ya sa100 iliyo kunya akili na kubakisha mafi💩💩 kichwani ni ngumu kuelewa ...angekuwa JPM hili jambo angelifanyia kazi kwa kununua matrator 1000 kwa kuanzia kazi.nenda Facebook mtafute jamaa mmoja anaitwa Geophrey Tenganamba ukimpa hayo mawazo atayafanyia kazi
Acha bangi ,serikali ilime imuuzie nani ,wakulima wadogo wauze wapi,Mo ana mashamba analimaHili lilitakiwa kuwa la serikali maana kilimo ni muhimu sana sema hii serikali pumbavu ya sa100 iliyo kunya akili na kubakisha mafi💩💩 kichwani ni ngumu kuelewa ...angekuwa JPM hili jambo angelica nyia kazi kwa kununua matrator 1000 kuanzia kazi
Wewe ni kijambio nani kasema serikali ilime 🙄🙄🙄🙄 tumia akili wacha kutumia kijambio..kazi ya serikali hapo ingekuwa ni kuwezesha na kuratibu na kupata takwimu za kilimo na pesa tu .. kilimo kingefanywa na wananchi kwa kupitia app ya serikali na mapato kuingia serikalini na takwimu.Acha bangi ,serikali ilime imuuzie nani ,wakulima wadogo wauze wapi,Mo ana mashamba analima
"angekuwa JPM hili jambo angelifanyia kazi kwa kununua matrator 1000 kwa kuanzia kazi." Akili ndogoWewe ni kijambio nani kasema serikali ilime 🙄🙄🙄🙄 tumia akili wacha kutumia kijambio..kazi ya serikali hapo ingekuwa ni kuwezesha na kuratibu na kupata takwimu za kilimo na pesa tu .. kilimo kingefanywa na wananchi kwa kupitia app ya serikali na mapato kuingia serikalini na takwimu.
Kwani brt buses kanunua mama yako"angekuwa JPM hili jambo angelifanyia kazi kwa kununua matrator 1000 kwa kuanzia kazi." Akili ndogo
Bado unaonyesha jinsi gani ulivo akili kisodaKwani brt buses kanunua mama yako
Nikinunua umeme uingie moja kwa moja LUKUNINkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
Haya eleza akili ni vipi ...unajua hayo matrector ikiyanunua inayatumia kwa kanuni gani ...wanapewa vijana watatu kwa kila tractor kwenye mikoa yenye kufaa kwa kilimo hivyo hiyo app ndiyo itakayo walipa kutokana na mgawanyo wa fedha kila kitu kinakuwa outomatic...matrector 1000 yangetoa ajira kwa vijana elfu 3Bado unaonyesha jinsi akili kisoda
WIFI inaoperate kwenye range flan tu haiwezi kuvuka mipakaKwa nini wasi-create app inayoweza ku-download au ku-feed WiFi kwenye simu ukitoka eneo lenye WiFi unaenda kutumia WiFi uliyoi-feed kwenye simu hata kama utakuwa mbali na hiyo WiFi husika...?