Nakazia.Tanzania Porn Hub
Kwanini?hii nchi hatujawahi kua serious kabisa
TCRA wanafungiaGenuine dating APP
TCRA wanafungia
Em tuache sie, ideas unique hapa Bongo? Woiiiihnatamani tuskie ideas unique lakini sasa......
Ukitoa number 1 &5, hizo zingine ulizotaja kuna wadau wangu walifanya kama final year projectNajua unataka wazo la Biashara la kimtandao.
Anza na hizi pengine zipo sijui au hazipo.
Fanya Research yako
1. Luku Token ( ila hii iko chini ya serikali ni ngumu)
Iwe inaingia direct.
2. App ya kuuza vitu ambavyo hautumii tena.
Mtumba, iwe nguo, meza kiti, baiskeli nk
Mtu anaingia anakuwa na akaunt na anauza vitu ambavyo hatumii
3. App ya harusi.
Mtu akiwa na harus yake anajiunga, anaweka details za wahusika na namba zao na app iwe ina waremind wahusika kila due date waliyoahidi michango ikifika. Iwe pia ina mremind bwana bibi harus vitu muhimu vya kufanya as check list.
Iwe na option pia ya kupokea michango ili iwe transparency zaidi.
4. App ya kukodisha nyumba bila madalali.
Madalali wanachosha sana kwa kweli! Dah!
5. App ya wajenzi.
Iwakitanishe mafund ujenzi na wanaotaka kujenga.
Mafund wajisajili na watoe monthly fees
Na waweke kazi zao kwa picha na makadirio openly. Pamoja na bei zao za ufund
na zilienda hewan?. Mapokeo yake ilikuwaje?.Ukitoa number 1 &5, hizo zingine ulizotaja kuna wadau wangu walifanya kama final year project
regulations bila shaka. maana hiyo inakuwa kama porn siteKwanini wanafungia?
regulations bila shaka. maana hiyo inakuwa kama porn site
Nguvu kazi ya taifa ni vijana, porn inaharibu hiyo nguvu kazi kwa kiwango kikubwa sana....na hakuna namna ya haraka kumzuia mtu kuangalia porn isipokuwa kuzuia hizo tovuti zenye anatumia kuangalia.Hivi porn ina madhara gani kwa taifa?
kama itatokea ukutane na mtu aliye athirkika na porn ndo utaelewa vizuri kwanini inapingwa na mamlaka.Hivi porn ina madhara gani kwa taifa?
Nguvu kazi ya taifa ni vijana, porn inaharibu hiyo nguvu kazi kwa kiwango kikubwa sana....na hakuna namna ya haraka kumzuia mtu kuangalia porn isipokuwa kuzuia hizo tovuti zenye anatumia kuangalia.
kama itatokea ukutane na mtu aliye athirkika na porn ndo utaelewa vizuri kwanini inapingwa na mamlaka.
sure, ila kwa ufupi porn addiction ni mbaya zaidi kuliko hata drugs. kama ukikuta mtu yupo addicted kweli.Nadhani sababu sijawahi kuona mtu mwenye addiction ya porn anakuwaje ndio maana sijui madhara yake ya moja kwa moja kitaifa
Wakulima wengi wanatumia vitochiZile app za kuita tax na bajaji na boda mitandaoni zinaitwaje ? Sijaona idea ya app za namna hiyo kwenye kilimo nchini ambayo mwenye shamba angejisajili na kuonyesha GPS ya shamba lake na ukubwa wa shamba kisha kupata huduma ya kulimiwa kwa tractor kutokana na umbali na ukubwa wa shamba lake ...hii ingesaidia sana kwenye kilimo serikali ingetoa matrator kwa ajili ya hiyo app na watu binafsi wanye matrector wange ya sajili kufanya kilimo