stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
- Thread starter
- #21
hii idea umeiona inatumika sehem flan nje ya tz?Zile app za kuita tax na bajaji na boda mitandaoni zinaitwaje ? Sijaona idea ya app za namna hiyo kwenye kilimo nchini ambayo mwenye shamba angejisajili na kuonyesha GPS ya shamba lake na ukubwa wa shamba kisha kupata huduma ya kulimiwa kwa tractor kutokana na umbali na ukubwa wa shamba lake ...hii ingesaidia sana kwenye kilimo serikali ingetoa matrator kwa ajili ya hiyo app na watu binafsi wanye matrector wange ya sajili kufanya kilimo