Habari wadau wa JamiiForums,
Kwenye dunia ya sasa, kuna mastaa wawili wa biashara: wale unaowaona hadharani na wale wanaopanga mchezo nyuma ya pazia. Wengi wetu tunanunua bidhaa, kutafuta taarifa, na kuwasiliana mtandaoni bila kujiuliza: Je, huu mfumo unavyotufanya tufikiri, kuchagua, na...
Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
I am using a MacBook A1708 and have been experiencing an issue with its sleep and power functionality:
1. When I close the lid after using the MacBook for a while and reopen it, the screen stays black as if it’s off.
2. If I shut it down, close the lid, and reopen it, the MacBook...
Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology,
Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au...
Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja".
Inasema...
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo.
Kampuni hiyo ya...
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store).
Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple...
Dunani huwezi kujua kila kitu, leo nimeshangaa kugundua kwamba mwanzilishi wa Kampuni ya Apple yaani Steve Jobs alikuwa Mwarabu wa Syria na baba yake alikuwa anaitwa Abdul Fattah Jandali ila alilelewa na wazazi ambao sio wake ambaye ni Paul jobs na mkewe.
Ila cha ajabu alikuwa akipenda sana...
Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa.
Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo.
Yapi maoni yako
Salam kwa jina la misosi,
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika zamani.
Sasa ili apple nilinunua mwezi wa saba kwenye tarehe kumi naa huko, uvivu wangu wa kula kama...
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
IOS 18 is out now
Wakuu habari za mishe
nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS
MIMI NAANZA NA UBUNTU...
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone...
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji
vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.