Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G.
Kwa ripoti nyingi zinaonyesha baadhi ya maeneo ambayo kwa iOS 16.4 yamepata support ya 5G ni Macau na Uturuki. Lakini kwa...
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022.
Apple imeonyesha mapato ya dola...
Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store.
📲 𝙆𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙞𝙙𝙖, ukiwa unataka kuweka app kwenye simu ya iPhone, unalazimika kwenda katika App Store...
Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake.
Mzozo huo umeibuka baada ya kampuni nyingi kusitisha matumizi kwenye Twitter hasa baada ya mipango ya mmiliki mpya wa...
Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika.
Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.
NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba...
Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja.
Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple.
Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku...
Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo.
Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada
Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja.
Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China.
Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2 kwa watumiaji wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 zote; ili kurekebisha matatizo ya Kamera za iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max.
Siku chache zilizopita baadhi ya watumiaji walikuwa wanalalamika kamera ya iPhone 14 Pro ilikuwa inatikisika na kutoa kelele kwa ndani...
Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.
iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15.
𝗞𝘄𝗮 𝘂𝗳𝘂𝗽𝗶 𝗶𝗢𝗦 𝟭𝟲 𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼:
🔘 Mwonekano mpya
🔘 Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max.
iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano.
🔘 Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...
Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini.
Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika
Apple imesema kuwa hatari hiyo inaathiri iPhones zilizoanzia kwenye modeli ya 6S, iPad kizazi cha 5 na...
Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo
Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices
Apple Inc. is aiming to hold a launch...
Ni mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,
Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.
Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.