Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda...
Heshima zenu wakuu.
Hivi karibuni, 11/04/2024, niliotesha miche michache ya matunda ya apple. Ilikuwa miche mitatu, na nililietewa toka Kenya.
Lakini mmoja wa hiyo miche imetoka michipukizi yanayofana na maua lakini sina uhakika kama ni maua, hasa ikizingatiwa kuwa "majuzi" tu.
Hiyo...
Congo ni taifa lenye historia ndefu na utajiri wa kitamaduni katika eneo la Afrika ya Kati. Kuna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Congo (pia inajulikana kama Congo-Brazzaville).
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Afrika ya Kati, iliyopo...
Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili.
Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems).
Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
Mac Pro mpya ni game changer Kwa all creaters, 3D Animations, graphics designers, videos production .
Apple wamekuja na chip Yao wenyewe from silicon na upanuzi wa PCIe kwa workflows Kazi za production.
Chip ya M2 Ultra mpya - chipu yetu yenye nguvu na uwezo zaidi kuwahi kutokea.
24-core...
Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa.
Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni za Microsoft, Intel, IDM, Oracle na Google vizuri ili kuboresha uwezo wao katika mambo mbalimbali...
Yani toleo jipya la iphone lilozinduliwa usiku wa Afrika Mashariki tarehe 12 mwezi wa 9 sijaona la maana zaidi ya kueleza ubora wa kamera tu.
Simu nyingi zinapoteza soko zikidili na kamera tu
Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi ulimwenguni ya titanium kwenye iPhones, ambayo yanatumika pia kutengeneza spacecraft.
Habari wakuu.
Ninataka kuagiza bidhaa ya apple online kutoka hawa jamaa. Je, kuna mtu alishawahi kununua kwao? Ni kweli wao ni wauzaji wa bidhaa za apple waliyoidhinishwa na kampuni ya apple, nisije nikaingia mkenge?
Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C.
Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X. Toleo la Beta ya kwanza ya iOS 17 itapatikana kwa wanachama wa Programu ya Apple kwa majaribio...
Hello bosses and roses....
Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.
Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED
Ahsante
Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories...
Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima.
Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa
Bei 1M
Mawasiliano 0623745875
Specifications
Display
Retina display
13.3-inch (diagonal) LED-backlit display with IPS technology; 2560-by-1600 native resolution at 227 pixels per inch with support for millions of colors
Supported scaled resolutions:
1680 by...
Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua.
Wakazi...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.