Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
Wadau naomba msaada kidgo kujua kama,
Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu akaniambia mizigo ya apple huwa ni utumwa au wenyewe wanaita ni gereza la kifahari.
Nikaona sio mbaya nije...
Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele
Hatua hiyo imekuja kufuatia ukosoaji mkubwa wa Teknolojia hiyo kutoka Makundi mbalimbali ambayo yaliibua wasiwasi kuwa mfumo...
Mfumo mpya wa Apple utakagua picha zenye Maudhui ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto kwenye Simu za watumiaji.
Zaidi ya Watu na Mashirika 5,000 wamesaini barua ya wazi wakipinga Teknolojia hiyo ambayo wanasema inaweza kutumika kuingilia faragha za Watu.
Hata hivyo, Apple imetetea Teknolojia yake...
Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu.
Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
NEW YORK: Demand for the iPhone and other Apple products drove profits to more than double in the January-March period as the tech giant continued to capitalise on smartphone addiction.
Profits came to US$23.6 billion, or US$1.40 per share, while revenue climbed 54 per cent to US$89.6 billion...
Habari waheshimiwa
Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake
Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256 MB
zinasoma DvD NA CD za aina zote
Napatikana KARIAKOO mt uhuru na MACHINGA COMPLEX floor 4...
Kampuni ya Apple ina mpango wa kuingia ubia na Kampuni ya Hyundai ya South Korea. Kuanza kutengeneza magari ya umeme yanayojiendesha bila dereva.
Lakini Apple pia bado ipo kwenye mazungumzo na makampuni mengine ya magari jinsi inaweza kuingia ubia nao!
Hii ni big blow kwa kampuni kubwa ya...
Kwa miaka mingi intel amekuwa ndiye kinara wa processors inapokuja suala la Desktop Computers. Kuna kipindi intel alikuwa anashikilia zaidi ya asilimia 75 ya market share ya processor za computer.
Lakini kuna hatari mambo yakabadilika. Toka ujio wa smartphones ambazo zinatumia processor zenye...
Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple.
https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
Thamani ya hisa za makampuni hasa tech companies zimeanguka kwa asilimia kubwa kuanzia juzi. Megacaps kuanzia jana na leo imepoteza thamani ya dola milioni 900!
Hii ni mara 60 ya bajeti yetu kwa mwaka! This might be just a small correction
-----------------------------
Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday.
The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya kuepuka ili kifaa chako kidumu kwa muda mrefu n.k. Na leo tunakuletea elimu ya computer zainazotosha...
Apple wameamua kula sahani moja na makampuni yanayotengeneza budget phone.
Apple wamezindua simu ya iphone inayoitwa iphone SE.
Kitu kinachovutia kwa toleo jipya la simu hii ni bei nafuu kulinganisha na matoleo mengine ya hivi karibuni. Bei yake ni $399.
Hii bei ni kubwa kwa sisi watumiaji wa...
Mwaka 2017 Apple iliwaomba radhi wateja wake wanaomiliki Iphone 7 na matoleo ya nyuma kwa kuzipunguzia kasi na ufanisi kwa makusudi ili tu watu wanunue matoleo mapya ya Iphone. Apple ilikuwa ikitoa software updates ambazo zitafanya aina hizo za simu kufanya kazi taratibu kuliko uwezo wake ili...
Habari,
Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.