apple

An apple is a sweet, edible fruit produced by an apple tree (Malus domestica). Apple trees are cultivated worldwide and are the most widely grown species in the genus Malus. The tree originated in Central Asia, where its wild ancestor, Malus sieversii, is still found today. Apples have been grown for thousands of years in Asia and Europe and were brought to North America by European colonists. Apples have religious and mythological significance in many cultures, including Norse, Greek and European Christian tradition.
Apple trees are large if grown from seed. Generally, apple cultivars are propagated by grafting onto rootstocks, which control the size of the resulting tree. There are more than 7,500 known cultivars of apples, resulting in a range of desired characteristics. Different cultivars are bred for various tastes and use, including cooking, eating raw and cider production. Trees and fruit are prone to a number of fungal, bacterial and pest problems, which can be controlled by a number of organic and non-organic means. In 2010, the fruit's genome was sequenced as part of research on disease control and selective breeding in apple production.
Worldwide production of apples in 2017 was 83.1 million tonnes, with China accounting for half of the total.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbinu wanazotumia kampuni kubwa kama Amazon, Google, na Apple kupata utajiri

    Habari wadau wa JamiiForums, Kwenye dunia ya sasa, kuna mastaa wawili wa biashara: wale unaowaona hadharani na wale wanaopanga mchezo nyuma ya pazia. Wengi wetu tunanunua bidhaa, kutafuta taarifa, na kuwasiliana mtandaoni bila kujiuliza: Je, huu mfumo unavyotufanya tufikiri, kuchagua, na...
  2. Nahitaji apple developer accounts

    Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
  3. Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  4. MacBook A1708 Black Screen Issue After Closing

    I am using a MacBook A1708 and have been experiencing an issue with its sleep and power functionality: 1. When I close the lid after using the MacBook for a while and reopen it, the screen stays black as if it’s off. 2. If I shut it down, close the lid, and reopen it, the MacBook...
  5. Ijue Sababu kwanini FBI hawaingilii sana biashara za Apple Inc kuliko wanavyoikandamiza Google LLC

    Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology, Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au...
  6. Apple yafunguliwa Madai ya Tsh. Trilioni 10.19 kwa kulazimisha wateja kutumia huduma za iCloud

    Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja". Inasema...
  7. Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  8. Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

    Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store). Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple...
  9. I

    Leo nimeshangaa kujua kuwa mwanzilishi wa Apple ni Mwarabu

    Dunani huwezi kujua kila kitu, leo nimeshangaa kugundua kwamba mwanzilishi wa Kampuni ya Apple yaani Steve Jobs alikuwa Mwarabu wa Syria na baba yake alikuwa anaitwa Abdul Fattah Jandali ila alilelewa na wazazi ambao sio wake ambaye ni Paul jobs na mkewe. Ila cha ajabu alikuwa akipenda sana...
  10. Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  11. Phone4Sale Simu za kukuokoa na chaji zinauzwa zipo kama apple Elfu 75 tu vinashape nzuri sana

    Elfu 75 tu. Specifications: WHATSAPP TU: 0687746474
  12. 2024 Apple event: Rangi za upinde zatawala

    Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa. Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo. Yapi maoni yako
  13. Hivi apple huwa zinatiwa nini? Nina apple limekaa zaidi ya mwezi lakini halina hata dalili ya kuoza!

    Salam kwa jina la misosi, Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika zamani. Sasa ili apple nilinunua mwezi wa saba kwenye tarehe kumi naa huko, uvivu wangu wa kula kama...
  14. Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

    Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September! Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16. Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
  15. Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  16. Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

    Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18 IOS 18 is out now
  17. Uzi maalumu kwa watumiaji wa vifaa vyote vya kielektroniki isipokuwa vifaa vya Apple

    Wakuu habari za mishe nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS MIMI NAANZA NA UBUNTU...
  18. Uzi maalumu kwa Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  19. Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

    Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data. Tuachane na iPhone...
  20. Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…