apple

An apple is a sweet, edible fruit produced by an apple tree (Malus domestica). Apple trees are cultivated worldwide and are the most widely grown species in the genus Malus. The tree originated in Central Asia, where its wild ancestor, Malus sieversii, is still found today. Apples have been grown for thousands of years in Asia and Europe and were brought to North America by European colonists. Apples have religious and mythological significance in many cultures, including Norse, Greek and European Christian tradition.
Apple trees are large if grown from seed. Generally, apple cultivars are propagated by grafting onto rootstocks, which control the size of the resulting tree. There are more than 7,500 known cultivars of apples, resulting in a range of desired characteristics. Different cultivars are bred for various tastes and use, including cooking, eating raw and cider production. Trees and fruit are prone to a number of fungal, bacterial and pest problems, which can be controlled by a number of organic and non-organic means. In 2010, the fruit's genome was sequenced as part of research on disease control and selective breeding in apple production.
Worldwide production of apples in 2017 was 83.1 million tonnes, with China accounting for half of the total.

View More On Wikipedia.org
  1. 5G itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iPhone nchini Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ katika iOS 16.4

    Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G. Kwa ripoti nyingi zinaonyesha baadhi ya maeneo ambayo kwa iOS 16.4 yamepata support ya 5G ni Macau na Uturuki. Lakini kwa...
  2. Apple imeuza bidhaa za Tsh. Trilioni 273 ndani ya miezi 3

    Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022. Apple imeonyesha mapato ya dola...
  3. Jamani natafuta apple acid vinegAr

    Jamani natafuta apple acid vinegAr inakouzwa hapa dar es salaam
  4. A

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
  5. Apple kuruhusu watumiaji kuweka Apps za nje ya App Stote

    Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store. ๐Ÿ“ฒ ๐™†๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™–๐™ฌ๐™–๐™ž๐™™๐™–, ukiwa unataka kuweka app kwenye simu ya iPhone, unalazimika kwenda katika App Store...
  6. Elon Musk aendelea kuishutumu Apple kuwa inatishia kuiondoa Twitter kwenye program zake

    Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake. Mzozo huo umeibuka baada ya kampuni nyingi kusitisha matumizi kwenye Twitter hasa baada ya mipango ya mmiliki mpya wa...
  7. Apple (tunda) za kutoka Afrika Kusini kwanini haziendelei kuiva au kuharibika

    Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika. Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
  8. Apple hawana Wakala/Store Tanzania

    Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk. NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba...
  9. Apple yatajwa kuwa na thamani zaidi ya Google, Meta na Amazon kwa pamoja

    Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja. Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple. Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku...
  10. Apple yakubali masharti ya EU, iPhone zitaanza kuja na mfumo wa USB-C

    Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo. Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
  11. Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
  12. META yasema watumiaji milioni 1 wa Facebook wamedukuliwa

    Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja. Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
  13. Apple inaanza kutengeneza iPhone 14 nchini India

    Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China. Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
  14. Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2

    Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2 kwa watumiaji wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 zote; ili kurekebisha matatizo ya Kamera za iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max. Siku chache zilizopita baadhi ya watumiaji walikuwa wanalalamika kamera ya iPhone 14 Pro ilikuwa inatikisika na kutoa kelele kwa ndani...
  15. iOS 16 imeshatoka, haya ndio mabadiliko yaliyomo

    Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16. iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15. ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿญ๐Ÿฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ: ๐Ÿ”˜ Mwonekano mpya ๐Ÿ”˜ Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
  16. ๐— ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฐ

    Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max. iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano. ๐Ÿ”˜ Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...
  17. Australia: Sheria ya Usalama wa Mitandao kuzibana Apple, Meta na Microsoft

    Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini. Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
  18. Kampuni ya Apple yashauri wateja wake kuupdate vifaa vyao

    Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika Apple imesema kuwa hatari hiyo inaathiri iPhones zilizoanzia kwenye modeli ya 6S, iPad kizazi cha 5 na...
  19. Apple yadaiwa ipo njiani kuzindua simu ya iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022

    Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022. Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices Apple Inc. is aiming to hold a launch...
  20. Hivi haya matufaa (apple) yana usalama kweli?

    Ni mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani, Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana. Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ